AK Yatoa Ratiba ya Msimu Mpya wa Riadha

AK Yatoa Ratiba ya Msimu Mpya wa Riadha

Chama cha Riadha Nchini (AK) kimetoa ratiba rasmi ya msimu ujao wa mbio na fani mbalimbali za riadha za uwanjani, ambapo msimu huo unatarajiwa kuanza rasmi wikendi hii katika uwanja wa Mumias. Kulingana na taarifa iliyotolewa na chama hicho, hatua ya kutoa ratiba mapema inalenga kuwapa wanariadha muda wa kutosha kujiandaa vyema kabla ya kushiriki […]

Read More
 Ray C Awakosoa Wasanii Wanaotangaza Kazi zao Wakati Watanzania Wanaomboleza

Ray C Awakosoa Wasanii Wanaotangaza Kazi zao Wakati Watanzania Wanaomboleza

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Ray C, ameonyesha kutoridhishwa na baadhi ya wasanii wanaoendelea kupromote nyimbo zao kwenye mitandao ya kijamii wakati taifa likiwa katika kipindi cha huzuni na maombolezo kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi. Kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Ray C amehoji dhamira ya wasanii wanaoendelea kufanya kampeni na challenge za nyimbo zao katika […]

Read More
 Khaligraph Akosoa Waandaji wa Matamasha kwa Kuwavunjia Heshima Wasanii

Khaligraph Akosoa Waandaji wa Matamasha kwa Kuwavunjia Heshima Wasanii

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones, ameonyesha kutoridhishwa kwake na jinsi wasanii wanavyoshughulikiwa wakati wa matamasha na hafla mbalimbali, akisema kuwa wanapewa heshima kubwa wanapowasili lakini wanapuuzwa mara baada ya kufanya maonyesho yao. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, Khaligraph amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuona wasanii wakiwasili kwenye matamasha wakiwa […]

Read More
 Rayvanny Awataka Watanzania Kudumisha Amani

Rayvanny Awataka Watanzania Kudumisha Amani

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameungana na Watanzania katika kuomboleza vifo vya watu waliopoteza maisha kufuatia ghasia zilizoripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 29. Kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Rayvanny amesisitiza umuhimu wa Watanzania kuendelea kushikamana kwa umoja na upendo, akisema sifa kuu ya taifa hilo tangu enzi za mababu imekuwa ni amani […]

Read More
 Nandy Atoa Pole kwa Waathiriwa wa Maandamano Tanzania

Nandy Atoa Pole kwa Waathiriwa wa Maandamano Tanzania

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy, ameungana na Watanzania katika kuomboleza vifo na majeruhi waliopoteza wapendwa wao kufuatia maandamano yaliyoshuhudiwa nchini hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Nandy ametoa salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, na Watanzania wote walioathirika, akiwataka waendelee kuwa na subira na imani katika kipindi hiki kigumu. Msanii […]

Read More
 Mwanablogu wa Kenya Ataka Wazazi kuwa Wabunifu Wanapowapa Watoto Majina

Mwanablogu wa Kenya Ataka Wazazi kuwa Wabunifu Wanapowapa Watoto Majina

Mwanablogu, Murugi Munyi, amewashauri Wakenya kuwa wabunifu zaidi wanapowapa watoto wao majina, akisema majina kama Ethan, Jayden, na Michelle sasa yamezoeleka sana nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Murugi amesema kuwa ni wakati wazazi wa kizazi kipya wawe na ubunifu zaidi badala ya kurudia majina yale yale ambayo yamekuwa yakitumika kwa miongo […]

Read More
 Diamond Atoa Ujumbe wa Faraja na Amani Kwa Watanzania

Diamond Atoa Ujumbe wa Faraja na Amani Kwa Watanzania

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameungana na Watanzania katika kipindi hiki cha huzuni na maombolezo kufuatia ghasia zilizoripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa imani, umoja na upendo miongoni mwa wananchi. Kupitia ujumbe wake mtandaoni, Diamond alisema kuwa hakuna jambo hutokea bila mapenzi ya Mungu, akiongeza kuwa kila tukio lina sababu […]

Read More
 Marioo Atoa Pole kwa Familia za Watanzania Waliofariki Wakati wa Ghasia za Uchaguzi

Marioo Atoa Pole kwa Familia za Watanzania Waliofariki Wakati wa Ghasia za Uchaguzi

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, ameungana na Watanzania katika kuomboleza vifo vya watu waliopoteza maisha kufuatia ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Marioo ameonyesha huzuni yake kwa matukio hayo na kutoa pole kwa familia, ndugu, na Watanzania wote walioguswa na vifo hivyo. Amesema kuwa […]

Read More
 Zuchu Aomba Amani Baada ya Ghasia Tanzania

Zuchu Aomba Amani Baada ya Ghasia Tanzania

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, amevunja ukimya wake kufuatia taarifa za ghasia zilizoibuka nchini Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambazo zimeripotiwa kusababisha vifo vya baadhi ya wananchi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameomba Mungu aihifadhi Tanzania na kuijaalie amani, umoja na upendo, akionekana kuguswa na machafuko yanayoripotiwa katika baadhi ya […]

Read More
 Billnass Ajiondoa Instagram Baada Duka Lake Kuchomwa

Billnass Ajiondoa Instagram Baada Duka Lake Kuchomwa

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Billnass, amejiondoa kwa muda kwenye mtandao wa Instagram kufuatia tukio la kuchomwa kwa duka lake la vifaa vya kielektroniki wakati wa maandamano yaliyoshuhudiwa nchini humo ya kupinga uchaguzi wa Oktoba 29. Chanzo cha karibu na msanii huyo kimeeleza kuwa ameamua kuchukua mapumziko kutoka mitandaoni ili kujituliza kiakili na kushughulikia hasara […]

Read More
 Nasra Yusuf Akashifu Mastaa wa Bongo kwa Kushindwa Kukemea Maovu Tanzania

Nasra Yusuf Akashifu Mastaa wa Bongo kwa Kushindwa Kukemea Maovu Tanzania

Mchekeshaji wa Kenya, Nasra Yusuf, amewakosoa vikali wasanii nyota nchini Tanzania akiwemo Diamond Platnumz, Zuchu, Rayvanny, Harmonize, Alikiba, Mbosso, Juma Jux, Nandy na Jay Melody kwa kutozungumzia machafuko yanayoendelea nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, Nasra ameeleza kushangazwa na ukimya wa wasanii hao wakati ambapo mashabiki wao wanapitia mateso makubwa kutokana na vurugu na ukosefu […]

Read More
 Sho Madjozi Aeleza Wasiwasi Kuhusu Hali Tanzania

Sho Madjozi Aeleza Wasiwasi Kuhusu Hali Tanzania

Msanii nyota kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hali ya mawasiliano na hali ya kisiasa nchini Tanzania, akisema kuwa tangu jana hajafanikiwa kuwasiliana na marafiki zake walioko nchini humo. Sho Madjozi amesema kuwa amehisi hofu kubwa kutokana na hali ya ukosefu wa mawasiliano, huku akisisitiza upendo wake kwa Tanzania na watu wake. […]

Read More