Mke wa Bolo Bespoke, Aonya Familia dhidi ya Kumpaka Makeup au Kumvika Wig Atakapofariki

Mke wa Bolo Bespoke, Aonya Familia dhidi ya Kumpaka Makeup au Kumvika Wig Atakapofariki

Mke wa mwanamitindo wa mavazi Bolo Bespoke, anayejulikana kama Mueni, amezua gumzo mtandaoni baada ya kuweka wazi matakwa yake ya baada ya kifo, akisisitiza kuwa hataki kupakwa makeup wala kuvishwa wig wakati wa mazishi yake. Kupitia video aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa TikTok, Mueni ameeleza kuwa hajawahi kupenda kupaka makeup wala kuvaa wig, akisisitiza kuwa […]

Read More
 Octopizzo Atoa Wito kwa Viongozi Kuwajibika kwa Matatizo ya Wafanyakazi

Octopizzo Atoa Wito kwa Viongozi Kuwajibika kwa Matatizo ya Wafanyakazi

Msanii wa muziki wa hip-hop kutoka Kenya, Octopizzo, ameikosoa vikali tabaka la wanasiasa nchini humo kwa kutoonyesha uwajibikaji katika matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida, hasa wafanyakazi wa sekta za umma. Kupitia taarifa aliyoandika kwenye ukurasa wake wa X, Octopizzo amehoji kwa nini viongozi waliochaguliwa kama wabunge, maseneta na wawakilishi wadi hawajawahi kuandamana kudai mishahara yao […]

Read More
 Eric Omondi Awataka Wasanii Kusimama na Wananchi Katika Masuala ya Utawala

Eric Omondi Awataka Wasanii Kusimama na Wananchi Katika Masuala ya Utawala

Mchekeshaji na mwanaharakati wa Kenya, Eric Omondi, ametoa wito kwa wasanii kuweka maslahi ya wananchi mbele na kusimama nao katika masuala yanayohusu utawala na mabadiliko ya kijamii. Kupitia video aliyoichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Omondi amesisitiza kuwa ni wananchi wanaowawezesha wasanii kustawi kwa kuhudhuria matamasha yao na kununua kazi zao, hivyo ni muhimu wasanii […]

Read More
 Mash Mwana Amshauri Bahati Awe na Msimamo Katika Muziki Wake

Mash Mwana Amshauri Bahati Awe na Msimamo Katika Muziki Wake

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Kenya, Mash Mwana, amemkosoa msanii Bahati kwa kukosa msimamo katika muziki wake, akimtaka aelewe anachotaka kufanya badala ya kuchanganya muziki wa injili na ule wa dunia (secular). Kupitia Instastory yake, Mash Mwana amesema kuwa Bahati anapaswa kuamua iwapo anataka kuimba muziki wa injili au secular, badala ya kufanya vitendo […]

Read More
 Sheebah Karungi Awajibu Wakosoaji wa Mavazi Yake

Sheebah Karungi Awajibu Wakosoaji wa Mavazi Yake

Mwanamuziki kutoka Uganda, Sheebah Karungi, amewajibu kwa msimamo thabiti wakosoaji wanaopinga mtindo wake wa mavazi unaoonyesha maungo ya mwili wake. Sheebah, amesema hana mpango wa kuomba msamaha kwa jinsi anavyojivalisha, akisisitiza kuwa amewekeza sana katika mwili wake kwa kufanya mazoezi na kutumia pesa zake, hivyo anaamini ana haki ya kuonyesha matokeo ya kazi yake kwa […]

Read More
 Spice Diana Aachana Rasmi na Meneja Wake

Spice Diana Aachana Rasmi na Meneja Wake

Mwanamuziki nyota wa Uganda Spice Diana ameripotiwa kuachana rasmi na meneja wake wa muda mrefu Roger Lubega wa kampuni ya Source Management, hatua inayofungua ukurasa mpya katika safari yake ya muziki. Chanzo cha karibu na Spice Diana kimethibitisha habari hizo kupitia mitandao ya kijamii, ikisema kuwa uhusiano wake wa kikazi na Source Management umefika kikomo, […]

Read More
 Willy Paul: Siwezi Kuwa Kwenye Mahusiano na Mwanamke Mlevi

Willy Paul: Siwezi Kuwa Kwenye Mahusiano na Mwanamke Mlevi

Staa wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mahusiano ya kimapenzi, akisema hawezi kamwe kuwa na uhusiano na mwanamke mlevi. Kupitia ujumbe aliouweka mtandaoni, , Willy Paul amesema kuwa anapendelea kubaki single kuliko kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayependa pombe kupita kiasi. Mkali huyo wa ngoma ya Ngunga, amesema wanawake wa aina […]

Read More