Khaligraph Jones Aidharau Orodha ya Shabiki Aliyewataja Wasanii Wanaoweza Kumpa Ushindani

Khaligraph Jones Aidharau Orodha ya Shabiki Aliyewataja Wasanii Wanaoweza Kumpa Ushindani

Staa wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Khaligraph Jones, ameonekana kuidharau orodha iliyotolewa na shabiki mmoja mtandaoni iliyowataja marapa wanaodaiwa wanaweza kumzidi uwezo wa kurap. Kwenye orodha hiyo, shabiki huyo alitaja majina kadhaa mazito kwenye game ya hip hop nchini humo, akiwemo Octopizzo, Elisha Elai, Timmy Blanco, Twenny Eights, Femi One, Abbas Kubaff pamoja […]

Read More
 Chief Godlove Amtema Pipi Jojo Kulinda Ndoa Yake

Chief Godlove Amtema Pipi Jojo Kulinda Ndoa Yake

Mwanamitandao Chief Godlove amefunguka sababu zilizopelekea kusitisha mpango wa kumsimamia kikazi aliyekuwa msanii wake, Pipi Jojo ambaye alimtambulisha kwenye tasnia ya muziki mwishoni mwa mwaka 2025. Akizungumza na Bongo 5, Chief Godlove amesema taarifa zilizoibuliwa na Mwijaku zikidai kuwa alimpa ujauzito Pipi Jojo zilimletea madhara makubwa katika ndoa yake. Amesema madai hayo, ambayo anasisitiza hayakuwa […]

Read More
 Buruklyn Wakanusha Kufanya Kazi na Toxic Lyrikali

Buruklyn Wakanusha Kufanya Kazi na Toxic Lyrikali

Mabingwa wa miondoko ya Drill kutoka Nairobi, Buruklyn Boyz, wameingilia kati na kuzima tetesi zilizoanza kusambaa kwa kasi mtandaoni zikidai kuwa kundi hilo linapika mradi mpya wa muziki na hasimu wao rapa Toxic Lyrikali. Kupitia kurasa zao rasmi, Buruklyn Boyz wamekanusha vikali taarifa hizo na kudai kuwa hawana akaunti yoyote rasmi ya Facebook. Wamesema kuwa […]

Read More

Woospin Technical Reliability Review: Outages and Maintenance Notices

This woospin technical reliability review looks at what Australian players can see when checking access, game loading, payments and service notices. The public platform is mobile-focused and uses AUD, with registration available through woospin.bet/ and SMS verification. Our focus is not promotional claims, but practical signs of stability: working pages, visible maintenance messages, loading problems […]

Read More
 Starlets Kukabiliana na Benin na Ivory Coast Katika Mechi za Kirafiki Abidjan

Starlets Kukabiliana na Benin na Ivory Coast Katika Mechi za Kirafiki Abidjan

Timu ya Harambee Starlets imepangiwa kucheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa nchini Ivory Coast kabla ya kuelekea Ufaransa kwa kambi ya mazoezi kuendelea na maandalizi yao ya kushiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake WAFCON mwaka huu. Timu hiyo inatarajiwa kuondoka Jumamosi kwenda Abidjan, ambapo itachuana na Benin tarehe 2 mweziujao na wenyeji […]

Read More
 Ibraah Ataka Usaidizi wa Masheikh Baada ya Kuachwa na Mke Wake

Ibraah Ataka Usaidizi wa Masheikh Baada ya Kuachwa na Mke Wake

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Ibraah ameshindwa kuficha maumivu yake baada ya kudai kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimtambua kama mke wake. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Ibraah amesema kuwa anapitia kipindi kigumu kihisia, hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ameeleza kuwa anahofia huenda hali anayopitia ikaathiri mfungo wake. Ibraah amewaomba mashabiki wake […]

Read More
 Victoria Kimani Adai Kutojua Lugha Hiyo ni Baraka Kutoka kwa Mungu

Victoria Kimani Adai Kutojua Lugha Hiyo ni Baraka Kutoka kwa Mungu

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Victoria Kimani, amezua sintofahamu mtandaoni baada ya kutoa kauli inayotafsiriwa na wengi kama dharau dhidi ya lugha ya Kiswahili. Kupitia Instastory, msanii huyo amedai kuwa kutokujua Kiswahili kumemsaidia kulinda afya yake ya akili. Victoria Kimani, ambaye amekuwa akikosolewa kwa miaka mingi kwa kutumia lugha ya Kiingereza katika kazi zake, ameeleza kuwa […]

Read More
 Harmonize Aahidi Kumpenda Kajala Hadi Mbingun

Harmonize Aahidi Kumpenda Kajala Hadi Mbingun

Penzi la bosi wa Konde Music Worldwide, Harmonize, kwa malkia wa filamu Bongo Kajala Masanja, limeingia kwenye hatua nyingine baada ya msanii huyo kutoa viapo vizito vinavyovuka mipaka ya dunia mbele ya mpenzi wake huyo. Kupitia mfululizo wa video fupi (Instastories) akiwa ndani ya gari na Kajala, Harmonize ameonekana akimwaga maneno ya mahaba yaliyojaa hisia […]

Read More
 WhatsApp Yaboresha Groups kwa Kipengele cha Kuona Chats Zilizopita

WhatsApp Yaboresha Groups kwa Kipengele cha Kuona Chats Zilizopita

Kampuni ya WhatsApp imetangaza mabadiliko mapya kwenye huduma yake ya makundi (groups), hatua inayolenga kuboresha uzoefu wa watumiaji wanapojiunga na makundi mapya. Katika maboresho mapya yaliyotangazwa, sasa mtumiaji atakapoongezwa kwenye group ataweza kuona baadhi ya ujumbe uliotumwa kabla ya kujiunga kwake. Kwa kawaida, mtumiaji anapojiunga kwenye group kwa mara ya kwanza, hakuwa na uwezo wa […]

Read More