Alien Skin Atoa Onyo Kali kwa Wafuasi wa NUP

Alien Skin Atoa Onyo Kali kwa Wafuasi wa NUP

Msanii mwenye utata nchini Uganda, Alien Skin, ametoa onyo kali kwa wafuasi wa chama cha National Unity Platform (NUP) akiwataka waache kumshambulia mitandaoni. Akizungumza kupitia TikTok Live, Alien Skin amesema kuwa yuko kwenye level moja na kiongozi wa chama hicho, Bobi Wine ikizingatiwa kuwa ana ushawishi mkubwa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Msanii huyo […]

Read More
 Eddy Kenzo Aahidi Kumsapoti Grace Khan Ambaye yuko Rehab

Eddy Kenzo Aahidi Kumsapoti Grace Khan Ambaye yuko Rehab

Mwanamuziki nyota wa Uganda na Rais wa Shirikisho la Wanamuziki Uganda (Uganda National Musicians Federation), Eddy Kenzo, ameahidi kuendelea kumsaidia msanii Grace Khan, ambaye anaripotiwa kurejea tena katika kituo cha tiba ya uraibu wa pombe na dawa za kulevya. Akizungumza kwenye mahojiano hivi karibuni, Kenzo amesema hajakata tamaa juu ya Grace Khan licha ya changamoto […]

Read More
 Guardian Angel Aanzisha Kampeni Dhidi ya Unyanyasaji wa Mtandaoni

Guardian Angel Aanzisha Kampeni Dhidi ya Unyanyasaji wa Mtandaoni

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Guardian Angel, ameanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha mashabiki na jamii kwa ujumla kuhusu athari za unyanyasaji wa mtandaoni (cyber bullying), Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Guardian Angel ametoa wito wa kusitisha kabisa vitendo vya unyanyasaji wa mtandaoni, akieleza kuwa tatizo hilo linaelekea kuwa miongoni mwa changamoto […]

Read More

Gambiva et les fenêtres de paris en direct : quand une mise devient-elle définitive ?

Sur gambiva casino avis, la question centrale n’est pas seulement de savoir quels sports sont proposés, mais à quel moment un pari en direct ne peut plus être annulé. Gambiva annonce des paris avant match et en direct, sans publier clairement, pour le domaine étudié, chaque délai d’acceptation, règle de suspension ou procédure de correction. […]

Read More

Spinbara : revue de sécurité après une réinitialisation de mot de passe non demandée

Recevoir un message de réinitialisation que l’on n’a jamais demandé mérite une vérification calme, pas une conclusion immédiate. Cette revue de sécurité de spinbara examine les protections annoncées, les contrôles de compte et les démarches utiles après une alerte inhabituelle. Pour replacer l’épisode dans son contexte, consultez aussi spinbara casino avant de réutiliser vos identifiants […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Kujaribu Mfumo wa Subscription ya Kulipia

WhatsApp Yaanza Kujaribu Mfumo wa Subscription ya Kulipia

WhatsApp imeanza kujaribu mpango mpya wa subscription ya kulipia, hatua inayolenga kuwapa watumiaji uwezo wa kupata huduma na vipengele vya ziada tofauti na vilivyopo kwa sasa. Kupitia mpango huu, watumiaji watakaolipia wataweza kufurahia baadhi ya features maalum zikiwemo stickers za premium, themes za kipekee, uwezo wa ku-pin chat zaidi ya tatu, ringtone maalum kwa chats, […]

Read More

Adeguamento del palinsesto scommesse su Coolzino durante le pause

Se stai cercando un modo per scommettere su e-sport, sport estivi e sport virtuali, sei nel posto giusto. Anche con l’arrivo dell’estate, le leghe minori offrono eccitanti possibilità per ogni appassionato. Visita https://coolzinoitaly.com/ e inizia a esplorare le tue opzioni ora! Strategie per mantenere l’interesse degli scommettitori Proporre eventi di e-sport è un’ottima strategia per […]

Read More
 Man City Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Galatasaray

Man City Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Galatasaray

Manchester City iliendeleza ubabe wake katika Ligi ya Mabingwa kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Galatasaray. Erling Haaland alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 11, kabla ya Rayan kuongeza la pili dakika ya 29 na kuhitimisha ushindi wa mabao mawili bila majibu. Katika mchezo mwingine, Benfica waliishangaza Real Madrid kwa kuibuka na […]

Read More