Bebe Cool: Serikali Uganda Kuanzisha Leseni kwa Content Creators

Bebe Cool: Serikali Uganda Kuanzisha Leseni kwa Content Creators

Msanii mkongwe kutoka Uganda, Bebe Cool, amefichua kuwa serikali iko katika hatua za mwisho za kuanzisha mfumo wa kutoa leseni kwa watengenezaji wa maudhui ya kidijitali wanaofanya kazi kupitia majukwaa kama YouTube na TikTok. Akizungumza kwenye moja ya podcast nchini humo, Bebe Cool alisema mpango huo unalenga kudhibiti maudhui ya mitandaoni na kuhakikisha matumizi yenye […]

Read More
 Diamond Amtabiria Binti Yake kuwa Miss World

Diamond Amtabiria Binti Yake kuwa Miss World

Msanii nyota wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz, ametoa kauli inayotafsiriwa na wengi kama utabiri mzuri kwa mustakabali wa binti yake, Tiffah Dangote. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Tiffah, Diamond amejibu posti ya binti yake aliyokuwa akielezea nafasi yake katika familia yao kwa maneno mafupi lakini yenye uzito mkubwa akimuita “My Miss World” Kauli hiyo […]

Read More
 Harmonize Awapa Somo Wanaume Wanaowachukulia Poa Wanawake Wao

Harmonize Awapa Somo Wanaume Wanaowachukulia Poa Wanawake Wao

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameamua kuwapa ujumbe mzito wanaume wanaochukulia poa wanawake waliopo kwenye maisha yao. Kupitia ujumbe alioutoa kwenye ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amesisitiza umuhimu wa kuwajali, kuwathamini na kuwatunza wanawake wanaoonyesha mapenzi ya dhati. Hitmaker huyo wa Leo amesema kuwa si rahisi kumpata mwanamke wa kweli mara mbili, hivyo […]

Read More
 Chief Godlove: Januari Pekee Imeniingizia Mamilioni ya Kutosha Kuishi Miaka 5

Chief Godlove: Januari Pekee Imeniingizia Mamilioni ya Kutosha Kuishi Miaka 5

Content creator maarufu mtandaoni, Chief Godlove, amefunguka kuwa mwezi wa Januari 2026 pekee tayari umemuingizia mamilioni ya fedha zitakazomwezesha kuendesha maisha yake kwa miaka mitano ijayo bila matatizo yeyote. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Chief Godlove ameonekana kujiamini kupita kiasi kwa kusema kuwa kwake mwaka tayari umeshaisha, ilhali kwa wengine ndio kwanza unaanza. Mbali na […]

Read More
 TikTok Marekani sasa chini ya usimamizi mpya

TikTok Marekani sasa chini ya usimamizi mpya

TikTok ya nchini Marekani sasa inaendeshwa chini ya umiliki na usimamizi mpya, kupitia kampuni iitwayo TikTok USDC, inayosimamia shughuli zote za jukwaa hilo ndani ya Marekani. Hatua hiyo inakuja baada ya mijadala ya muda mrefu kuhusu usalama wa data za watumiaji, uwazi wa uendeshaji, pamoja na masuala ya ushawishi wa majukwaa ya mitandao ya kijamii. […]

Read More
 Akothee Atoa Rate Card Rasmi kwa Matukio na Deals za Kibiashara

Akothee Atoa Rate Card Rasmi kwa Matukio na Deals za Kibiashara

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, ameachia rasmi rate card yake, ikionyesha gharama za kum-book kwa shughuli mbalimbali za burudani na ushirikiano wa kibiashara. Kwa mujibu wa taarifa alizochapisha mtandaoni, Akothee anatoza KSh 700,000 kwa kuhudhuria hafla bila kutumbuiza. Hii ni kwa matukio kama mikutano ya kibiashara, sherehe binafsi au hafla za kitaasisi ambapo uwepo […]

Read More

cosmobet et les tours gratuits sur un jeu précis : les vérifications essentielles

Les tours gratuits associés à un jeu précis peuvent sembler simples, mais leurs conditions changent fortement la valeur réelle de l’offre. Avant de déposer, vérifiez le montant minimum, le jeu concerné, la durée et les règles de retrait. Pour comparer les informations disponibles sur https://cosmobet-fr.fr/, gardez aussi une distinction claire entre l’interface française, la licence […]

Read More