Vegas plus : comprendre les tables de paiement de la roulette et le gain net

Sur vegas plus, lire une table de paiement de roulette demande de distinguer deux montants : le retour total annoncé et le bénéfice réellement gagné. Cette différence influence chaque mise, surtout lorsque la mise initiale est importante. Voici comment interpréter les paiements classiques, calculer le gain net et vérifier les règles d’une table avant de […]

Read More

Olympe Casino : le décryptage des limites et conditions des bonus

Les conditions des bonus Olympe Casino combinaient des gains annoncés sans exigence de mise et des règles strictes sur le montant des mises, la durée et les retraits. Cette différence entre avantage commercial et contraintes pratiques mérite une lecture attentive. Le casino olympe est toutefois fermé aujourd’hui : les éléments ci-dessous décrivent donc un fonctionnement […]

Read More
 Harmonize Awajibu Wakosoaji wa Penzi Lake na Kajala

Harmonize Awajibu Wakosoaji wa Penzi Lake na Kajala

Msanii nyota wa Bongoflava, Harmonize, ametoa somo nzito kwa wakosoaji wa mahusiano yake na mke wake Kajala baada ya walimwengu kuendelea kuwapa ushauri tangu walipotangaza kuifufua penzi lao. Kupitia instastory yake, Harmonize ameonekana kukerwa na hatua ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimkumbusha mke wake matukio yake ya zamani, akisema hawawezi kufuta yaliyopita kwenye maisha […]

Read More
 Jose Chameleone Kuzindua Chameleone FM Bujumbura

Jose Chameleone Kuzindua Chameleone FM Bujumbura

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone, anatarajiwa kuzindua kituo kipya cha redio jijini Bujumbura, Burundi, kitakachoitwa Chameleone FM. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na msanii huyo, Chameleone amenunua kituo cha zamani cha Black FM, ambacho sasa kinatarajiwa kuanza upya chini ya jina jipya la Chameleone FM, hatua inayolenga kuimarisha uwepo wake […]

Read More
 Msanii Grace Khan Ashikiliwa Rehab Kwa Deni la Milioni 5

Msanii Grace Khan Ashikiliwa Rehab Kwa Deni la Milioni 5

Msanii wa muziki kutoka Uganda Grace Khan anaripotiwa kushikiliwa kwenye kituo cha tiba ya uraibu (rehab) jijini Kampala baada ya kushindwa kulipa bili zinazodaiwa kufikia zaidi ya shilingi milioni 5 za Uganda. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na familia yake, ndugu wa msanii huyo wameshindwa hadi sasa kukusanya fedha hizo, hali iliyosababisha uongozi wa […]

Read More
 Mrembo wa Kenya Akataa Ndoa na Kuzaa Watoto

Mrembo wa Kenya Akataa Ndoa na Kuzaa Watoto

Socialite mwenye utata nchini Kenya, Lydia Wanjiru, amefunguka na kuweka wazi msimamo wake kuhusu maisha ya ndoa na uzazi, akisema wazi kuwa amechagua kuishi maisha bila kuolewa wala kuzaa watoto. Kupitia Instastory yake, Lydia amesema uamuzi huo ni wa hiari yake binafsi na umetokana na kutaka kuishi maisha yanayompa amani, uhuru na fursa ya kujijenga […]

Read More
 Khaligraph Jones Awajibu Wakosoaji: “Punguza Ushauri 2026”

Khaligraph Jones Awajibu Wakosoaji: “Punguza Ushauri 2026”

Rapa mkali kutoka Kenya, Khaligraph Jones, amewajibu kisomo wakosoaji wake wanaoendelea kutoa ushauri kuhusu kazi zake za muziki mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Khaligraph ameposti video fupi inayoonyesha msimamo wake, akiwataka watesi wake wapunguze ushauri mwaka mpya wa 2026, huku akifanya ishara ya kuwaziba midomo. Ingawa Papa Jones hakufafanua zaidi wala kueleza kwa kina […]

Read More
 Kush Tracy: Nilitumia Pombe na Mihadarati Wiki Nzima

Kush Tracy: Nilitumia Pombe na Mihadarati Wiki Nzima

Msanii aliyeacha muziki wa kidunia na kugeukia Injili, Kush Tracy, amefunguka kuhusu maisha yake ya nyuma akieleza kuwa aliwahi kuishi kwenye uraibu wa pombe na matumizi ya mihadarati kwa kipindi kirefu kabla ya kubadili mwelekeo wa maisha na kuokoka. Kupitia podcast ya Mwakideu Live, Kush Tracy amesema kulikuwa na kipindi ambacho aliweza kunywa pombe na […]

Read More
 Dudu Baya: Chidi Benz Alikuwa Mbeba Begi wa Profesa Jay

Dudu Baya: Chidi Benz Alikuwa Mbeba Begi wa Profesa Jay

Msanii mkongwe wa Bongoflava, Dudu Baya, amejitokeza na kuipinga vikali kauli ya Chidi Benz aliyodai kuwa alimtangulia kwenye game ya muziki, akisema madai hayo hayana msingi wowote. Akipiga stori na Bongo24, Dudu Baya amesema hayuko kwenye level moja na Chidi Benz, akijitaja kama lejendari wa muziki wa Bongo. Ameeleza kuwa kipindi ambacho alikuwa staa mkubwa, […]

Read More
 Pritty Vishy Atishia Kumshushia Stevo Simple Kipigo cha Mwaka

Pritty Vishy Atishia Kumshushia Stevo Simple Kipigo cha Mwaka

Mrembo wa mitandaoni Pritty Vishy ametishia kumshushia kipigo cha mwaka msanii Stevo Simple Boy baada ya kukasirishwa na madai yaliyoibuliwa na msanii huyo kuwa amefanya upasuaji wa kuongeza makalio (BBL). Katika ujumbe wake Instastory, Pritty amewataka mashabiki wasimlaumu endapo atachukua hatua ya kumuadhibu Stevo Simple Boy, akisisitiza kuwa amechoshwa na tuhuma zinazomhusisha na masuala ya […]

Read More
 Nairobi United Itashuka Dimbani Dhidi ya Azam Jumapili

Nairobi United Itashuka Dimbani Dhidi ya Azam Jumapili

Nairobi United itashuka dimbani Jumapili hii dhidi ya Azam FC ya Tanzania kwenye mechi ya hatua ya makundi ya Kombe la Mashirikisho katika Uwanja wa Taifa wa Nyayo. Nai Boys, ambao wanashiriki kwa mara ya kwanza katika michuano ya bara Afrika, wanatafuta ushindi wao wa kwanza baada ya matokeo mchanganyiko katika mechi mbili za ufunguzi. […]

Read More