Matangazo Kuanza Kuonekana Kwenye App ya Threads Wiki Ijayo

Matangazo Kuanza Kuonekana Kwenye App ya Threads Wiki Ijayo

Matangazo ya kibiashara yanatarajiwa kuanza kuonekana rasmi kwenye app ya Threads kuanzia wiki ijayo. Kampuni ya Meta imetangaza kuwa itaanza kuonyesha matangazo hayo kwa utaratibu katika masoko mbalimbali duniani. Matangazo hayo yataendeshwa kwa kutumia mfumo wa kisasa wa matangazo unaotumia teknolojia ya AI, sawa na mfumo unaotumika kwenye Facebook na Instagram. Kwa hatua hii, watumiaji […]

Read More

Comprendre les limites des bonus sans dépôt sur casino hermes

Les récompenses sans dépôt de casino hermes peuvent sembler simples, mais leurs conditions comptent autant que leur montant. La règle centrale limite généralement l’offre à une personne, un foyer, une adresse, une adresse e-mail, un moyen de paiement ou un ordinateur partagé. Avant toute casino hermes connexion, il faut donc vérifier l’éligibilité, les exigences de […]

Read More
 Sony na TCL Waungana Rasmi Kwenye Biashara ya TV

Sony na TCL Waungana Rasmi Kwenye Biashara ya TV

Kampuni kubwa za teknolojia duniani, Sony na TCL, zimetangaza kuingia katika ushirikiano rasmi kwenye biashara ya televisheni na vifaa vya burudani vya nyumbani, ikiwemo speakers, home theaters na mifumo ya sauti. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, TCL itakuwa na umiliki mkubwa wa hisa katika ushirikiano huo kwa asilimia 51, hatua inayoiweka kampuni hiyo ya China […]

Read More
 Harmonize Azima Tetesi za Kuachana na Kajala Kupitia Video ya Gym

Harmonize Azima Tetesi za Kuachana na Kajala Kupitia Video ya Gym

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize ameonekana kuzima kabisa minong’ono mtandaoni iliyodai kuwa ameachana na mpenzi wake Kajala Masanja, baada ya kuposti video inayowaonyesha wawili hao wakiwa pamoja gym. Katika video hiyo kupitia Instastory, Harmonize ameonekana akifanya mazoezi ya push up huku akiwa amembeba Kajala mgongo mwake, tukio lililowafanya mashabiki wengi kuona wazi kuwa bado wapo […]

Read More
 Bahati na Diana Marua Wazua Tetesi Baada ya Kufuta Picha Zote Instagram

Bahati na Diana Marua Wazua Tetesi Baada ya Kufuta Picha Zote Instagram

Staa wa muziki Bahati na mkewe Diana Marua wamezua gumzo mitandaoni baada ya kubainika kuwa wameacha kufuatana (unfollow) kwenye mtandao wa Instagram. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki wao wengi, hasa ikizingatiwa kuwa wawili hao wamekuwa wakionekana kama wanandoa wanaoheshimika zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Kinachozidi kuzua maswali ni kwamba kila mmoja wao amefuta picha zote zilizokuwa […]

Read More
 Meneja wa Mama Amina Akanusha Vikali Video ya Faragha Inayosambaa Mtandaoni

Meneja wa Mama Amina Akanusha Vikali Video ya Faragha Inayosambaa Mtandaoni

Meneja wa msanii Mama Amina, DJ Pacheko Midundo, amejitokeza hadharani kumkingia kifua msanii wake kufuatia kusambaa kwa video ya faragha mtandaoni inayodaiwa kumhusisha Mama Amina na mwanaume mmoja. Akizungumza kuhusu sakata hilo, Pacheko amekanusha vikali madai hayo akisisitiza kuwa video hiyo si ya Mama Amina, bali imebuniwa makusudi na baadhi ya watu kwa lengo la […]

Read More
 Geofrey Lutaaya Ataka Ambulance Aliyotoa Kwa Wananchi Irejeshwe Baada ya Kushindwa Ubunge

Geofrey Lutaaya Ataka Ambulance Aliyotoa Kwa Wananchi Irejeshwe Baada ya Kushindwa Ubunge

Mwanamuziki aliyegeukia siasa nchini Uganda Geofrey Lutaaya ameripotiwa kutaka ambulance aliyoinunua kwa wananchi wakati wa kampeni irejeshwe, kufuatia kushindwa kwake kwenye uchaguzi wa ubunge uliomalizika hivi karibuni. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu, Lutaaya ametoa makataa ya mwezi mmoja akitaka ambulance hiyo irudishwe kwake. Inadaiwa kuwa msanii huyo amechukizwa na matokeo ya uchaguzi baada ya […]

Read More
 Juma Lokole Amlalamikia Wema Sepetu kwa Kukimbia Dili la Kazi

Juma Lokole Amlalamikia Wema Sepetu kwa Kukimbia Dili la Kazi

Mdau wa masuala ya burudani, Juma Lokole, ameonyesha maumivu na masikitiko makubwa kufuatia kitendo cha muigizaji maarufu Wema Sepetu kudaiwa kukimbia kazi waliyokuwa wamekubaliana. Akizungumza kwa uchungu, Juma amesema alimpa Wema dili la kazi baada ya makubaliano yote kukamilika ikiwemo kukubali kiwango cha malipo na kukatiwa tiketi ya ndege kwa ajili ya utekelezaji wa mradi […]

Read More
 Kajala Masanja Afichua Alivyohongwa Mamilioni na Wanaume

Kajala Masanja Afichua Alivyohongwa Mamilioni na Wanaume

Muigizaji nyota wa filamu za Bongo, Kajala Masanja, amekiri hadharani kuwa alihongwa mamilioni ya fedha na wanaume waliotaka kutoka naye kimapenzi kipindi ambacho nyota yake ilikuwa imeng’aa kwenye tasnia ya filamu. Akizungumza kupitia podcast ya A List Stars, Kajala amesema licha ya kupata pesa nyingi kutoka kwa wanaume tofauti hakufanya jambo la maana zaidi ya […]

Read More
 Akothee Achoshwa na Maswali ya Uhusiano Wake wa Nelly Oaks

Akothee Achoshwa na Maswali ya Uhusiano Wake wa Nelly Oaks

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, ameonekana kukerwa na maswali ya mara kwa mara kutoka kwa baadhi ya mashabiki wake wanaoendelea kumuulizia aliyekuwa mpenzi wake, Nelly Oaks. Kupitia kauli yake ya moja kwa moja, Akothee amewajibu mashabiki hao kwa ukali akisema, “Mumeskia ametangazwa amekufa?” kauli iliyoonyesha wazi kuchoshwa kwake na mada hiyo ambayo anaonekana hataki […]

Read More
 Mwijaku Amtolea Uvivu Chief Godlove Kuhusu Magari ya Kifahari Bila Parking

Mwijaku Amtolea Uvivu Chief Godlove Kuhusu Magari ya Kifahari Bila Parking

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku, amezua gumzo mitandaoni baada ya kumtolea uvivu Chief Godlove, akigusia suala la umiliki wa magari ya kifahari bila kuwa na maegesho binafsi. Kupitia clip aliyoposti akiwa nyumbani kwake, Mwijaku ameonyesha magari yake yakiwa yameegeshwa kwenye parking ya nyumba yake, akisema haiwezekani mtu kudai kumiliki magari ya kifahari ilhali hana […]

Read More