Pritty Vishy Ashtumiwa kwa Kudanganya Umma Kuhusu Sakata la Upasuaji wa Kuongeza Makalio

Pritty Vishy Ashtumiwa kwa Kudanganya Umma Kuhusu Sakata la Upasuaji wa Kuongeza Makalio

Socialite anayesuasua nchini Kenya, Pritty Vishy, ameanikwa mtandaoni na rafiki yake wa karibu kuwa alifanya upasuaji wa kuongeza makalio (BBL) kwa siri licha ya kukana mara kwa mara. Kwa mujibu wa rafiki yake Becky Akinyi, Pritty alifanyiwa upasuaji wa BBL na kwamba alihusika kumsaidia na kumhudumia wakati alipokuwa kwenye mchakato wa kupona baada ya upasuaji […]

Read More
 Brown Mauzo Asema Valentines’s Day ni kwa Mabinti walio Chini ya Miaka 25

Brown Mauzo Asema Valentines’s Day ni kwa Mabinti walio Chini ya Miaka 25

Mwanamuziki Brown Mauzo amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kudai kidai kuwa Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day), ni maalum kwa wanawake walio chini ya umri wa miaka 25. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Brown Mauzo amesema kuwa wanawake waliovuka umri huo wanapaswa kusubiri Siku ya Wanawake Duniani (Women’s Day) kusherehekea siku hiyo, badala ya kushindana […]

Read More
 Spice Diana Adai Hutumia Milioni 2 za Uganda kwa Siku

Spice Diana Adai Hutumia Milioni 2 za Uganda kwa Siku

Msanii nyota kutoka Uganda, Spice Diana, amefunguka kuhusu kiwango cha pesa anachotumia kwenye mahitaji yake kila siku. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini humo, Spice Diana amesema kuwa hutumia takribani shilingi milioni 2 za Uganda kwa siku, hasa anapokuwa na shoo. Amesema hata anapokuwa nyumbani bila kufanya maonesho wala kulipa bili kubwa, […]

Read More
 Harmonize Aonyesha Mapenzi ya Dhati kwa Kajala Kupitia Simu Yake

Harmonize Aonyesha Mapenzi ya Dhati kwa Kajala Kupitia Simu Yake

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Harmonize, amewapa wanaume darasa la mapenzi kuhusu namna wanavyopaswa kuwa-save wapenzi wao kwenye simu zao. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameposti picha ya screenshot inayoonyesha namna alivyomsave mke wake Kajala Frida kwenye simu yake. Kilichowavutia wengi ni jina alilotumia, ambapo amemsave Kajala kama “I Was Made for Her” kwa […]

Read More
 Mulamwah Aingilia Sakata la Ruth K na Mfanyikazi wake

Mulamwah Aingilia Sakata la Ruth K na Mfanyikazi wake

Mchekeshaji kutoka Kenya, Mulamwah, amefunguka kuhusu sakata linaloendelea mitandaoni kati ya Baby Mama wake Ruth K na aliyekuwa mfanyikazi wake Ann Waithera ambapo inadaiwa mtoto wake alitumika kutengeneza maudhui mtandaoni. Kupitia Instagram, Mulamwah amesema kuwa mwanawe hapaswi kuingizwa kwenye drama za watu wazima.Amewaonya Baby Mama wake na mfanyikazi wake kuacha kabisa kumtumia mtoto wake kama […]

Read More
 Toxic Lyrikali Afichua Nchi 6 Zinazoongoza Kumsikiliza Duniani

Toxic Lyrikali Afichua Nchi 6 Zinazoongoza Kumsikiliza Duniani

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Toxic Lyrikali, ameendelea kuthibitisha ukuaji na ushawishi wake kimataifa baada ya kufichua orodha ya nchi sita zinazoongoza kwa kusikiliza muziki wake. Kwa mujibu wa takwimu hizo, Kenya inaongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kama taifa linalomsikiliza zaidi, ikifuatiwa na Jamaica katika nafasi ya pili. Nafasi ya tatu inashikiliwa na Marekani, […]

Read More
 Apple Yatangaza Mpango wa Kuongeza Matangazo kwa Watumiaji Wake

Apple Yatangaza Mpango wa Kuongeza Matangazo kwa Watumiaji Wake

Kampuni ya teknolojia Apple imetangaza kuwa kuanzia mwezi Machi mwaka huu itaongeza idadi ya matangazo katika sehemu ya utafutaji, yaani Search, kwenye App Store. Kwa mujibu wa taarifa ya Apple, mabadiliko hayo yataanza mwezi wa tatu na yataathiri watumiaji wa iPhone, Mac, pamoja na vifaa vingine vya Apple. Watumiaji wanatarajiwa kuona matangazo mengi zaidi wanapotafuta […]

Read More

Quelles options de dépôt choisir sur leon casino mobile ?

Sur leon casino mobile, le meilleur dépôt n’est pas forcément celui qui paraît le plus rapide. Il faut d’abord vérifier la méthode affichée dans la caisse, les limites, la devise et les conditions de retrait. Cette approche aide à comparer leon. casino avec méthode, sans se fier uniquement aux offres promotionnelles. Les informations disponibles confirment […]

Read More