Entertainment

BIEN AFUNGUKA KUHUSU SAUTI SOL KUTOTUMBUIZA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA.

BIEN AFUNGUKA KUHUSU SAUTI SOL KUTOTUMBUIZA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA.

Mwanakikundi wa Sauti Sol Bien amefunguka mara baada ya Diamond Platnumz kupewa nafasi ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kisiasa wa mrengo wa Azimio la Umoja juzi kati.

Kulingana na Hitmaker huyo “Inauma”,  sio wasanii wote wana haja ya kutumbuiza kwenye majukwaa ya kisiasa.

“We don’t want to be in political forums” Amesema Bien.

Bien ametoa kauli hiyo kufuatia hatua ya mchekeshaji Eric Omondi kuwatolea uvivu wasanii wa Kenya kwa kutotumbuiza kwenye hafla ya kisiasa ya Azimio la Umoja huko Kasarani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *