Bien Awataka Wasanii wa Kenya Kuepuka Shows Wanakodhulumiwa
Msanii wa muziki kutoka Kenya na mwanachama wa kundi la Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, ametoa wito mzito kwa wasanii nchini humo kutokubali kufanya maonyesho katika maeneo au matukio ambayo wanadharauliwa au kudhulumiwa. Kupitia ujumbe wake aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Bien amewapongeza wasanii wa Kodong Clan kwa uamuzi wao wa kujiondoa kwenye show ya Asake, […]
Read More