Bien Akanusha Kuvunjika kwa Kundi la Sauti Sol

Bien Akanusha Kuvunjika kwa Kundi la Sauti Sol

Mwanamuziki Bien-Aimé Baraza ameweka wazi msimamo wa kundi la Sauti Sol kufuatia madai yanayoendelea mtandaoni kwamba wamevunja rasmi ushirikiano wao wa muda mrefu. Akizungumza kuhusu tetesi hizo kwenye runinga ya Citizen, Bien amesisitiza kuwa kundi hilo halijawahi kuachana, na kwamba walitangaza tu kuchukua mapumziko ya muda. Kwa mujibu wa Bien, uhusiano kati ya wanachama wa […]

Read More
 Bien Ajitetea Baada ya Kauli Tatanishi Kuhusu Wanawake wa Kenya

Bien Ajitetea Baada ya Kauli Tatanishi Kuhusu Wanawake wa Kenya

Mwanamuziki maarufu kutoka Kenya na mshiriki wa kundi la Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, amevunja ukimya kufuatia mjadala ulioibuka mitandaoni kuhusu mstari wa wimbo wake mpya unaozungumzia wanawake wa Kenya kuwa na foreheads kubwa (paji kubwa za uso). Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Bien alisisitiza kuwa wimbo wake ni kazi ya sanaa inayopaswa kuchukuliwa kwa […]

Read More
 Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Mwanamuziki maarufu wa kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza, amefunguka kuhusu msimamo wake kuhusu ndoa za wake wengi, akisema hana mpango wa kuoa zaidi ya mke mmoja. Akihojiwa kwenye kipindi cha The Breakfast Club, Bien alieleza kuwa licha ya kukulia kwenye familia ya wake wengi, yeye ana mtazamo tofauti. “Ninatoka katika familia ya wake […]

Read More
 Shabiki Aweka Historia Kwenye Tamasha la Bien New York kwa Pendekezo la Ndoa la Kushtukiza

Shabiki Aweka Historia Kwenye Tamasha la Bien New York kwa Pendekezo la Ndoa la Kushtukiza

Tamasha la Bien jijini New York liligeuka kuwa jukwaa la mapenzi na mshangao, pale ambapo shabiki mmoja aliwashangaza wote kwa kutoa pendekezo la ndoa mbele ya umati mkubwa wa mashabiki waliofurika kwenye ukumbi huo uliojaa hadi pomoni. Bien, mwanamuziki mahiri kutoka Kenya na mwanachama wa kundi maarufu la Sauti Sol, alikuwa akitumbuiza kwa hisia moja […]

Read More
 Bien wa Sauti Sol ahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani

Bien wa Sauti Sol ahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani

Mwimbaji maarufu nchini Kenya anayeunda kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza ametangaza kuahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Duke Concept Entertainment kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram, maamuzi hayo yametokana na kukosekana kwa baadhi ya wanachama muhimu wa bendi ambao kwa mujibu wao ingeathiri mchakato mzima wa […]

Read More