Gossip

BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

Tutegemee ndoa kutoka kwenye couple ya mwanamuziki Brown mauzo na mrembo mwenye shape matata Vera Sidika mapema week ijayo.

Hayo yamebainishwa kutoka kwa Instagram page ya mwanamuziki brown mauzo ambaye ameShare picha ya mrembo huyo na kuandika ujumbe unao ashiria kuwepo kwa ndoa kati yao huku akiweka wazi tarehe husika ya tukio hilo kuwa ni Januari 18 mwaka wa 2022.

Hata hivyo walimwengu wameibuka kupitia mitandao ya kijamii na kuhoji kuwa brown mauzo anajianda kuachia kazi yake mpya ila anajaribu kutengeneza mazingira ili azungumziwe kwenye vyombo vya habari.

Utakumbuka brown mauzo pamoja na vera sidika wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwae Amina Brown

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *