Gossip

CHRIS BROWN MBIONI KUPATA MTOTO WA 3 NA EX-GIRLFRIEND WAKE DIAMOND BROWN

CHRIS BROWN MBIONI KUPATA MTOTO WA 3 NA EX-GIRLFRIEND WAKE DIAMOND BROWN

Inatajwa kuwa huenda msanii Chris Brown akawa anatarajia kupata mtoto wake wa tatu, hii ni baada ya ex girlfriend wake mwanamitindo Diamond Brown kuonesha ujauzito wake na kuwa huenda akajifungua siku za hivi karibuni hii ni kwa mujibu wa tovuti ya rapup

Bado mwanamitindo huyo hajaweka wazi kama Chris Brown ndiye baba wa mtoto huyo, lakini alithibitisha kuwa ni mjamzito kwa kupost misururu ya picha katika ukurasa wake wa Instagram.

Hata hivyo nyota huyo wa RnB Chris Brown hajazungumzia suala hilo mahala popote pale kama ni kweli ama si kweli, lakini kama itakuwa ni kweli basi Breezy atakuwa na jumla ya watoto watatu kutoka kwa wanawake watatu tofauti.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *