Chris Brown Aahidi Kurejea Kwa Kishindo Kwenye Breezy Bowl Tour

Chris Brown Aahidi Kurejea Kwa Kishindo Kwenye Breezy Bowl Tour

Mwanamuziki nyota kutoka Marekani, Chris Brown, amevunja ukimya kwa mara ya kwanza baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema leo, akieleza kuwa yuko tayari kuendelea na ratiba ya onyesho lake kubwa la Breezy Bowl linalotarajiwa kuanza Juni 13 jijini Manchester, Uingereza. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Chris Brown aliandika:  “Kutoka kifungoni mpaka kwenye Jukwaa […]

Read More
 Chris Brown Aachiliwa kwa Dhamana ya Dola Milioni 6.7 London

Chris Brown Aachiliwa kwa Dhamana ya Dola Milioni 6.7 London

Msanii mashuhuri wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ameachiwa kwa dhamana ya dola milioni 6.7 (takriban Shilingi bilioni 1) na mahakama mjini London baada ya kufunguliwa mashtaka ya kushambulia mtu bila sababu katika kilabu usiku mnamo mwaka 2023. Chris Brown mwenye umri wa miaka 36, ambaye ameshawahi kushinda tuzo ya Grammy, bado hajaombwa kutoa ombi […]

Read More
 Chris Brown Ashikiliwa Rumande Hadi Juni 13 kwa Tuhuma za Kujaribu Kumdhuru Mtayarishaji wa Muziki

Chris Brown Ashikiliwa Rumande Hadi Juni 13 kwa Tuhuma za Kujaribu Kumdhuru Mtayarishaji wa Muziki

Msanii maarufu wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ataendelea kushikiliwa rumande hadi tarehe 13 Juni 2025, akisubiri kufikishwa tena mahakamani kufuatia tuhuma za kushambulia kwa makusudi. Chris Brown anadaiwa kumshambulia mtayarishaji wa muziki Abraham Diaw kwa kutumia chupa katika kilabu cha usiku jijini London mnamo Februari 2023.Tuhuma hizo zinahusiana na kosa la kusababisha […]

Read More
 Chris Brown Akamatwa Jijini Manchester kwa Tukio la Mwaka 2023

Chris Brown Akamatwa Jijini Manchester kwa Tukio la Mwaka 2023

Msanii nyota wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ameripotiwa kukamatwa jijini Manchester, Uingereza, muda mfupi baada ya kutua nchini humo kwa ndege binafsi (private jet). Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya usalama, maafisa wa Metropolitan Police (Met) walimkamata msanii huyo mara baada ya kubaini uwepo wake jijini humo. Kukamatwa kwake kunahusishwa na […]

Read More
 Chris Brown Amkingia Kifua Tory Lanez, Wadau Wahoji Nia Yake Halisi

Chris Brown Amkingia Kifua Tory Lanez, Wadau Wahoji Nia Yake Halisi

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ameendelea na juhudi zake za kumtetea msanii Tory Lanez, ambaye anahusishwa na tukio la kupigwa risasi mguu wa rapa Megan Thee Stallion. Katika hatua ya hivi karibuni, Kupitia ujumbe aliouandika kwenye Insta-stori, Chris alisisitiza kuwa Tory Lanez anapaswa kuachiliwa kutokana na kile alichokiita udhalimu wa kifungo kisichostahili. Hatua […]

Read More
 Chris Brown hawakataza mashabiki zake kuvaa bandana ya nyekundu

Chris Brown hawakataza mashabiki zake kuvaa bandana ya nyekundu

Mwanamuziki Chris Brown amesema na mashabiki zake ambao wanatarajia kuja kwenye ziara yake ya muziki ambayo ametangaza itaanza baadaye mwaka huu. Hakutaka kueleweka vibaya, hivyo akautumia ukurasa wake wa instagram kufafanua jambo kwamba, hataki mashabiki zake waje wakiwa wamevalia vitambaa vyekundu maarufu kama “Red Bandannas” kama ambavyo wanapeana hamasa ya kuvaa hivyo. Breezy amewakataza mashabiki […]

Read More
 Chris Brown kufikishiwa kortini kwa tuhuma za kukwepa kodi

Chris Brown kufikishiwa kortini kwa tuhuma za kukwepa kodi

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown anadaiwa kodi na mamlaka ya mapato nchini Marekani, ambapo inatajwa kuwa anadaiwa kiasi cha (USD 4 million) zaidi ya KSh. milioni 497 ambacho ni kiwango cha kodi ambayo hakulipa tangu mwaka 2022. Mamlaka hiyo ya mapato (IRS) inamtaka Breezy alipe deni hilo haraka iwezekanavyo, nyaraka za madai hayo zinaonesha […]

Read More
 Ngoma ya Chris Brown “Call Me Every Day” yafakisha mauzo ya GOLD Marekani

Ngoma ya Chris Brown “Call Me Every Day” yafakisha mauzo ya GOLD Marekani

Ngoma ya mwimbaji nyota duniani, Chris Brown “Call Me Every Day” ambayo amemshirikisha Wizkid imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya 500,000 nchini Marekani na hivyo kufikia kiwango cha mauzo ya “GOLD”. Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA), Chris Brown yupo nafasi ya 11 kwenye orodha ya wanamuziki waliouza zaidi nyimbo zao kwenye majukwaa […]

Read More
 Kelly Rowland amkingia kifua Chris Brown kwenye Tuzo za American Music Awards

Kelly Rowland amkingia kifua Chris Brown kwenye Tuzo za American Music Awards

Mwanamuziki Kelly Rowland amemkingia kifua Chris Brown mbele ya mashabiki ambao walianza kumzomea kwenye utoaji wa Tuzo za (American Music Awards) usiku wa kuamkia leo. Baada ya kumtangaza kama mshindi wa kipengele cha Msanii Bora wa R&B, Breezy hakuwepo ukumbini na Kelly alilazimika kumchukulia Tuzo hiyo, lakini wakati akizungumza, mashabiki walianza kumzomea. Kelly Rowland aliwakatisha […]

Read More
 CHRIS BROWN AKUBALI  JINA ALILOPEWA NA WANAIGERIA

CHRIS BROWN AKUBALI JINA ALILOPEWA NA WANAIGERIA

Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amelipokea kwa mikono miwili Jina la Ki-Nigeria ambalo amepewa na raia wa Taifa hilo “Oluwa Gbenga Breezy” baada ya kukubali kushiriki kwenye nyimbo nyingi za wasanii wa Nigeria lakini pia kutumia lafudhi yao kwenye verse zake. Kupitia insta story yake, Breezy amelipokea Jina hilo na kuonesha upendo kwa kuweka vikopa […]

Read More
 CHRIS BROWN MATATANI KWA KUKWEPA SHOW YAKE

CHRIS BROWN MATATANI KWA KUKWEPA SHOW YAKE

Taarifa zinanazidi kusambaa zikimuhusisha Msanii Chris brown kukimbia na pesa baada ya kughairi kutumbuiza huko Houston muda mchache baada ya kufanya Soundcheck. The shade room imeripoti kuwa, Mwanaharakati na Mfanya biashara kutokea Houston Bi.LeJuan Bailey yupo mbioni kumchukulia Breezy hatua za Kisheria iwapo atashindwa kurejesha Mkwanja alio kimbia nao ($1.1M) ambapo March,19 Brown alitakiwa kutumbuiza […]

Read More