Entertainment

DIDDY AFUNGUKA KUMKINGIA KIFUA TRAVIS SCOTT KWENYE TUZO ZA BILLBOARD

DIDDY AFUNGUKA KUMKINGIA KIFUA TRAVIS SCOTT KWENYE TUZO ZA BILLBOARD

Mkongwe wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani P. Diddy anaendelea kuthibitisha kwa nini anajiita “LOVE”, amefunguka wazi kwamba ni yeye ndiye alimpambania Travis Scott kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye Tuzo za Billboard (BBMA’s) ambazo zitafanyika Mei 16 mwaka huu.

“For the Billboard Music Awards this Sunday I made a request, I made a demand. I said ‘My brother Travis Scott has to perform. I’m executive producing, he has to perform,’ and NBC said ‘yes.’ It’s going down Sunday, Travis Scott will be performing… now that’s love.” amekaririwa Diddy ambaye ni Mtayarishaji Mkuu wa Tuzo hizo.

Hii itakuwa show ya pili kwa mtu mzima Travis Scott kutumbuiza tangu onesho la Astroworld ambalo lilipelekea vifo vya watu 10 na wengine 4,900 kujeruhiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *