Rapa Diddy Kusomewa Hukumu Oktoba 3 kwa Kesi ya Ukahaba
Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean Combs almaarufu Diddy, amepangiwa rasmi tarehe ya kusomewa hukumu yake kuhusiana na makosa ya biashara ya ukahaba. Jaji Arun Subramanian ametangaza kuwa hukumu hiyo itasomwa Oktoba 3 mwaka huu, ikiwa ni siku ile ile aliyopendekeza wiki iliyopita mara baada ya Diddy kupatikana na hatia kwa makosa mawili makuu […]
Read More