
Msanii kutoka nchini Uganda Grenade amefunguka siri ambayo imewafanya wanawake wengi nchini humo kumpenda bila sababu za msingi.
Kwenye mahojiano na Galaxy FM Grenade amejitapa kuwa ana ujuzi wa kipekee linapokuja swala la kutumia ulimi wake kuwashawishi wanawake ambapo ameenda mbali zaidi na kujinasibu kuwa swala hilo limewafanya wanawake wengi nchini uganda kumzimia kimapenzi.
Grenade amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na wanawake wengi nchini uganda akiwemo Lydia Jazmine, Vivian Mbuga, Sheila Gashumba, Zari na wengine wengi.
Hata hivyo mbinu anazozitumia Grenade kuwavutia warembo hao limeilkuwa kitendawili kwa waganda wengi lakini Good news kuwa msanii huyo amenyoosha maelezo kuhusu hilo