Entertainment

HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  nchini Tanzania Hassan Ramadhani Masanja maarufu kama ‘Hanstone’ ameachia EP yake mpya aliyoipa jina “The Amaizing” yenye jumla ya nyimbo 7.

Mkali huyo ambaye alikuwa akihusishwa kuwa ni msanii mpya ajae kutoka lebo ya WCB, ameachia EP hiyo nje ya WCB.

“The Amaizing EP” tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali ya ku-stream muziki duniani.

Hanstone ni mtoto wa pekee wa marehemu Banza Stone, alijipatia umaarufu kupitia ngoma ya Iokote aliyoshirikishwa na Maua Sama mwaka wa 2018.

   

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *