Entertainment

KAA LA MOTO AACHIA RASMI LESO YA MIKATILILI ALBUM

KAA LA MOTO AACHIA RASMI LESO YA MIKATILILI ALBUM

Rapa kutoka Kenya Kaa la Moto ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Leso ya Mikatilili.

Album hiyo ina jumla ya ngoma 12 ya moto huku ikiwa na kolabo 10 pekee kutoka wakali kama Masauti, Hart the Band, Chikuzee, Mercury, Kigoto, Iddi Singer, Lavido,na Escobaa.

Leso ya Mikatilili Album ambayo ina nyimbo kama Nipe Mji, Sisikii Sauti, Karibu mwanangu na nyingine nyingi inapatikana Exclusive kupitia mtandao wa Boomplay Kenya.

Hii ni album ya pili kwa mtu mzima Kaa La Moto baada ya kesi ya mwaka wa 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *