Entertainment

Rapa Meek Mill awaomba radhi wananchi wa Ghana

Rapa Meek Mill awaomba radhi wananchi wa Ghana

Rapa Meek Mill amewaomba msamaha wananchi wa Ghana baada ya kuonesha kutokupendezwa na video yake ijayo ambayo kuna vipande amevirekodia katika Ikulu ya Ghana.

Meek Mill kupitia ukurasa wake wa Twitter amedai kuwa nia yake ni kuunganisha Wamerekani weusi na waafrika huku akisema kuwa hakujua tamaduni za Kiafrika.

“My apologies to the people if any disrespect! We still gonna push to make the connection between black people in America and Africa … what I’m trying to do is more than a video and you should see coming soon! My apologies to the the office also!”, Aliandika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *