50 Cent Apinga Uwezekano wa Trump Kumsamehe Diddy

50 Cent Apinga Uwezekano wa Trump Kumsamehe Diddy

Rapa maarufu 50 Cent amejitokeza waziwazi kupinga kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu uwezekano wa kumsamehe Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashtaka mazito ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono na uhalifu wa kupanga. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, 50 Cent alionyesha kutoridhishwa na kauli ya Trump, akieleza kuwa Diddy amekuwa […]

Read More
 50 Cent atangaza kuachia nyimbo mpya mwaka 2023

50 Cent atangaza kuachia nyimbo mpya mwaka 2023

Mkongwe wa muziki wa Hiphop ambaye pia ni muigizaji na muandaaji wa filamu kutoka Marekani, 50 Cent, ameeleza mwaka huu anaachia ngoma mpya, series mpya pamoja na filamu mpya. 50 Cent ambaye jina lake halisi ni Curtis James Jackson ameandaa series na filamu kama, Director, Power, Den of Thieves, Before I Self Destruct, na The […]

Read More
 50 Cent mbioni kuja na filamu kuhusubmaisha ya tapeli maarufu wa Nigeria, Hushpuppi

50 Cent mbioni kuja na filamu kuhusubmaisha ya tapeli maarufu wa Nigeria, Hushpuppi

Rapa, muigizaji na muandaaji wa show za Tv na filamu kutoka Marekani, Curtis James Jackson III maarufu kama 50 Cent, ametangaza mpango wake kwa mashabiki kwamba anaandaa series itakayohusu maisha ya Ramon Abbas maarufu Hushpuppi ambaye ni raia wa Nigeria aliyejipatia umaarufu mkubwa duniani kwa utapeli mitandaoni. 50 Cent ambaye ameshatayarisha series kama Power, Power […]

Read More
 50 cent adai Eminem hapewi heshima anayostahili

50 cent adai Eminem hapewi heshima anayostahili

Rapa mkongwe kutoka nchini Marekani 50 Cent amesema rapa Eminem hapewi heshima ya kutosha. Kwenye mahojiano yake na ‘Ebro In The Morning’ wakati akiitangaza series yake mpya (Hip Hop Homicides), 50 Cent amesema kwa mchango ambao Eminem ameuweka kwenye huu muziki wa Hiphop, anafikiri anastahili heshima zaidi ya ambayo anapewa kwa sasa. Ikumbukwe ‘Eminem’ ndiye […]

Read More
 50 CENT AMTOLEA UVIVU JAY Z KWA MADAI YA KUTOMTAKA KWENYE SUPER BOWL HALF TIME SHOW

50 CENT AMTOLEA UVIVU JAY Z KWA MADAI YA KUTOMTAKA KWENYE SUPER BOWL HALF TIME SHOW

Rapa kutoka Marekani Jay-Z hakutaka 50 Cent atumbuize kwenye Halftime show ya Super Bowl 2022, ilimbidi Eminem atie mgomo kwa kusema hatofanya show kama Jay-Z hatomruhusu 50 Cent awe kwenye orodha ya watumbuizaji kwenye fainali hizo. Siri hii imevujishwa na Mtangazaji N.O.R.E kwenye podcast ya Drink Champs wakati akifanya mahojiano na Snoop Dogg. Kauli hiyo […]

Read More
 RAPPER 50 CENT ATISHIA KUACHANA NA KAMPUNI YA STARZ

RAPPER 50 CENT ATISHIA KUACHANA NA KAMPUNI YA STARZ

Rapper kutoka Marekani 50 Cent ameingia kwenye headline mara baada ya kutishia kuondoka Starz, kampuni ambayo imechangia mafanikio makubwa ya series yake iitwayo ‘Power’. 50 Cent alisaini mkataba wa miaka minne na Starz tangu mwaka wa 2018 kwa kiasi cha shilling billion 17 za Kenya wa kufanya kazi ya kutengeneza series mbalimbali. Hata hivyo 50 […]

Read More
 THE GAME NA TIMU YAKE WAKASIRIKA, WAHOJI NI KWANINI DR. DRE ALIMCHAGUA 50 CENT KWENYE SUPER BOWL 2022

THE GAME NA TIMU YAKE WAKASIRIKA, WAHOJI NI KWANINI DR. DRE ALIMCHAGUA 50 CENT KWENYE SUPER BOWL 2022

Stori kubwa wiki hii kwenye burudani ni Super Bowl Half Time Show ambayo inatajwa kuwa ya kihistoria, lakini The Game ana malalamiko yake. Baada ya 50 Cent kupandishwa na kutumbuiza kama Guest Artist, Rapa The Game pamoja na timu yake wameonekana kutopenda uamuzi huo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, The Game ame-share ujumbe uliowekwa na […]

Read More