50 CENT KUJA NA FILAMU ITAKAYOANGAZIA MAUJI YA MARAPA NCHINI MAREKANI
Nyota wa muziki wa kutoka Marekani 50 Cent ambaye kwa sasa amejikita zaidi kwenye uandaaji wa Filamu na uigizaji ametangaza kuachia tamthia itakayoonesha Kesi za mauaji ya Rapa mbalimbali ambazo zimeshindwa kupatiwa ufumbuzi. 50 anaandaa tamthilia hiyo kwa kushirikiana na Mona Scott-Young Monami na Lionsgate. Tamthilia hiyo itaongozwa na Van Lathan ambaye ni mshindi wa […]
Read More