Ali Kiba Afunguka Suala la Mashabiki Kuwakataa Wasanii
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, amfafanua msimamo wake kuhusu mjadala unaotikisa tasnia ya muziki nchini Tanzania, ambapo baadhi ya mashabiki wameamua kuwakataa wasanii kwa kujihusisha na kampeni za kisiasa, hasa katika uchaguzi uliopita uliokumbwa na utata. Akizungumza kuhusu hali hiyo, Ali Kiba amesema hakuna mtu aliyefurahia kilichotokea kwenye uchaguzi huo, akibainisha kuwa […]
Read More