ALI KIBA NA SHILOLE WAMALIZA UGOMVI WAO MBELE YA MASHABIKI

ALI KIBA NA SHILOLE WAMALIZA UGOMVI WAO MBELE YA MASHABIKI

Mastaa wa Muziki wa Bongofleva Ali Kiba na Shilole wamethibitisha kumaliza tofauti zao. Wawili hao wameonesha kumaliza tofauti zao Mkoani Kigoma nchini tanzania mbele ya Mashabiki Baada ya alikiba kumpandisha jukwaani Shilole na Kuthibitisha kuwa hawana utofauti. Kwenye video Shilole anaseema “Tunaishi kwa kusapotiana, Alikiba namkubali, ila twende tukawatoe watu utata ulisema hukunialika na Alikiba […]

Read More
 HARMONIZE AMTAKA ALI KIBA KUTUMBUIZA KATIKA SIKU YAKE YA UCHUMBA

HARMONIZE AMTAKA ALI KIBA KUTUMBUIZA KATIKA SIKU YAKE YA UCHUMBA

Mwanamuziki Maarufu nchini Tanzania, Harmonize ameonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Alikiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanya kwenye tasnia ya Muziki wa Bongofleva. Kupitia ukurasa wake wa instagram, Harmonize alichapisha video fupi iliyokuwa ikicheza wimbo mpya wa Alikiba unaoitwa ‘Utu’ huku akiambatinisha na ujumbe kwamba siku ya kuvisha pete mpenzi wake lazima King Kiba atumbuize […]

Read More
 ALI KIBA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA MWAKA WA 2022

ALI KIBA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA MWAKA WA 2022

Hitmaker wa ngoma ya Utu’ msanii Ali Kiba amegusia uwezekano wa kuachia album yake nyingine ifikapo mwakani 2022. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Msanii huyo wa Bongofleva amesema anafikiria kuachia album nyingine mwaka ujao hii ni baada ya album yake mpya Only One King aliyoiachia mwaka huu kufanya vizur kupitia digital platforms mbali mbali. “Thinking […]

Read More