APPLE WAONDOA UDHAMINI WAO KWA KANYE WEST BAADA YA KUTANGAZA MSIMAMO WAKE KUHUSU ALBUM YA DONDA 2

APPLE WAONDOA UDHAMINI WAO KWA KANYE WEST BAADA YA KUTANGAZA MSIMAMO WAKE KUHUSU ALBUM YA DONDA 2

Kampuni ya Apple imetangaza kuondoa kiasi cha shilling billion 2.3 pamoja na kuondoa udhamini wake kwa Kanye West ambaye mishoni mwa wiki iiliyopita alitangaza rasmi kuwa album yake mpya “DONDA 2” itapatikana kwenye Jukwaa lake la ‘Strem Player’ kifaa maalum cha kusikiliza muziki. Kupitia ukurasa wake wa instagram wiki iiliyopita, Kanye West alifunguka makubwa ikiwemo […]

Read More