Apple Yatangaza Mpango wa Kuongeza Matangazo kwa Watumiaji Wake

Apple Yatangaza Mpango wa Kuongeza Matangazo kwa Watumiaji Wake

Kampuni ya teknolojia Apple imetangaza kuwa kuanzia mwezi Machi mwaka huu itaongeza idadi ya matangazo katika sehemu ya utafutaji, yaani Search, kwenye App Store. Kwa mujibu wa taarifa ya Apple, mabadiliko hayo yataanza mwezi wa tatu na yataathiri watumiaji wa iPhone, Mac, pamoja na vifaa vingine vya Apple. Watumiaji wanatarajiwa kuona matangazo mengi zaidi wanapotafuta […]

Read More
 Apple Yazindua iPhone 17, iPhone 17 Pro na iPhone Air

Apple Yazindua iPhone 17, iPhone 17 Pro na iPhone Air

Kampuni ya Apple imezindua rasmi simu mpya ya iPhone 17, ambayo japokuwa muonekano wake unafanana na iPhone 16, imeboreshwa kwa kiwango kikubwa upande wa teknolojia. Sasa inakuja na skrini ya ProMotion inayowezesha refresh rate hadi 120Hz, badala ya 60Hz ya toleo lililopita. Pia, ina kamera kuu ya 48MP, kioo cha Ceramic Shield 2 kilichoimara zaidi […]

Read More
 iPhone 17 Pro Kutambulishwa Rasmi Kesho Usiku na Apple

iPhone 17 Pro Kutambulishwa Rasmi Kesho Usiku na Apple

Kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua rasmi simu zake mpya za mwaka huu usiku wa kesho, katika hafla maalum itakayofanyika saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Katika uzinduzi huo, Apple inatarajiwa kuonyesha kwa mara ya kwanza hadharani matoleo mapya ya iPhone 17 Pro na iPhone 17 Pro Max, ambayo yamesemwa kuwa yatakuja na mabadiliko […]

Read More
 Apple Yatangaza iPhone Mpya Yenye Vioo Viwili

Apple Yatangaza iPhone Mpya Yenye Vioo Viwili

Kampuni ya teknolojia ya Apple, inatarajiwa kuzindua toleo jipya la iPhone ambalo linatajwa kuwa tofauti kabisa na matoleo ya awali. Taarifa kutoka kwa vyanzo vya karibu na kampuni hiyo zinaeleza kuwa iPhone hiyo mpya itakuwa na vioo viwili, hatua ambayo imeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa teknolojia duniani. Kioo cha kwanza kitakuwa kikubwa na […]

Read More
 Apple Kutambulisha Mfumo Mpya wa Uendeshaji kwa Vifaa vya Nyumbani

Apple Kutambulisha Mfumo Mpya wa Uendeshaji kwa Vifaa vya Nyumbani

Kampuni ya Apple imeanza kutengeneza mfumo mpya wa uendeshaji (operating system) ambao unalenga kubadilisha kabisa jinsi vifaa vya nyumbani vinavyofanya kazi. Taarifa zinaeleza kuwa mfumo huo mpya utafanya kazi katika aina mbalimbali za vifaa vya nyumbani kama spika zenye skrini ndogo, roboti wa usafi (cleaning robots), vifaa vya kielektroniki vya nyumbani, na vifaa vya kiusalama […]

Read More
 FaceTime Kuanzisha Teknolojia ya Kuzuia Video Call Endapo Mtumiaji Atavua Nguo

FaceTime Kuanzisha Teknolojia ya Kuzuia Video Call Endapo Mtumiaji Atavua Nguo

Kampuni ya Apple imeanzisha teknolojia mpya ya usalama katika huduma ya FaceTime, itakayoweza kusitisha simu za video pale ambapo itabainika kuwa mtumiaji amevua nguo au kutumia lugha ya matusi wakati wa mawasiliano. Hatua hii inalenga kulinda watumiaji dhidi ya unyanyasaji wa kingono na maudhui yasiyofaa. Teknolojia hiyo mpya, inayotegemea akili bandia (AI), itaweza kutambua si […]

Read More
 iPhone Yapanua Uwezo wa Kuhamisha eSIM kwa Simu za Android

iPhone Yapanua Uwezo wa Kuhamisha eSIM kwa Simu za Android

Apple imezindua mfumo mpya wa iPhone ambao utarahisisha uhamisho wa eSIM kati ya simu za Android na iPhone. Mfumo huu mpya unalenga kutoa suluhisho rahisi na salama kwa watumiaji wanaotaka kubadilisha simu zao bila shida ya kuondoa na kuweka kadi za simu za kawaida. Sehemu hii mpya ya kuhamisha eSIM itawawezesha watumiaji kuhamisha taarifa za […]

Read More