ARROW BOY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA MWEZI MACHI MWAKA HUU

ARROW BOY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA MWEZI MACHI MWAKA HUU

Mwanamuziki nyota nchini Arrow Boy ameachia rasmi Cover ya album yake mpya iinayokwenda kwa jina la “Focus” Kupitia ukurasa wake instagram Arrow Boy ametuonyesha cover ya album yake mpya huku akiwataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea Album hiyo ambayo itaingia sokoni machi 12 mwaka wa 2022. Licha ya kuweka wazi jina na cover […]

Read More
 NADIA MUKAMI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJA UZITO WAKE NA ARROW BOY

NADIA MUKAMI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJA UZITO WAKE NA ARROW BOY

Staa wa muziki nchini Nadia Mukami ameshindwa kuvumilia kinachoendelea mtandaoni kuhusu uja uzito wake na Arrow boy. Kupitia video aliyoishare kwenye ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami amedokeza kuwa alipoteza uja uzito wake mwishoni mwa mwaka wa 2021. Hitmaker huyo wa “Roho Mbaya” amesema licha ya kupoteza uja uzito wake aliahuma kutoweka wazi habari hiyo […]

Read More
 ARROW BOY AKANUSHA TUHUMA ZA KUWA NA BABY MAMA

ARROW BOY AKANUSHA TUHUMA ZA KUWA NA BABY MAMA

Nyota wa muziki nchini Arrow Boy amekanusha tuhuma za kumtekeleza Baby mama wake. Akijibu swali la shabiki yake aliyetaka kujua kama ana mtoto kwenye kikao cha maswali na majibu kwenye mtandao wa instagram Hitmaker huyo wa usinimwage amesema hana mwanamke yeyote zaidi ya Nadia Mukami. Ikumbukwe mwezi Agosti mwaka huu Arrow Boy alituhumiwa kumtekeleza Baby […]

Read More