Breaking!

Full Guide 2026
Most Trusted Non GAMSTOP Casinos in the UK for 2024
Best Offers & Free Spins 2026
Genuine_gameplay_experiences_and_https_bigclashs-casino_com_offer_serious_casino
November 17, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: Arsenal

 Arsenal yaibamiza Manchester City magoli 5-1 huku Man United ikikubali kichapo Old Trafford
Robert Elim February 2, 2025
Comments (0)

Arsenal yaibamiza Manchester City magoli 5-1 huku Man United ikikubali kichapo Old Trafford

Klabu ya Arsenal iliibamiza Manchester city kipigo cha magoli matano kwa moja kwenye mechi ya ligi nchini England iliyochezwa leo ugani Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Martin Odergard, Thomas Partey, Myles Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan Nwaneri dakika ya 2, 56, 62, 76 na 90+3 huku Earling Haaland akifungia Manchester city bao pekee […]

Read More
 LIVERPOOL NA ARSENAL YATOKA SARE YA KUTOFUNGANA KWENYE MCHEZO WA CARABAO
Robert Elim January 14, 2022
Comments (0)

LIVERPOOL NA ARSENAL YATOKA SARE YA KUTOFUNGANA KWENYE MCHEZO WA CARABAO

Liverpool imelazimishwa Suluhu tasa na Arsenal katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la Carabao uliopigwa katika dimba la Anfield Januari 13 mwaka 2022. Arsenal walilazimika kucheza pungufu katika muda mwingi wa mchezo huo baada ya kiungo Granit Xhaka kuonesha kadi nyekundu mapema kipindi cha kwanza Hata hivyo Liverpool wameshindwa kutumia Mwanya huo […]

Read More
 MCHEZO WA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL YASOGEZWA KISA CORONA
Robert Elim January 6, 2022
Comments (0)

MCHEZO WA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL YASOGEZWA KISA CORONA

Mchezo wa nusu fainali ya Carabao Cup, kati ya Liverpool dhidi ya Arsenal umesogezwa mbele, sababu kubwa ikiwa ni maambukizi ya Virusi vya Corona. Mchezo huo uliokuwa upigwe kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Anfield sasa utapigwa Januari 13 kisha marudio ni Januari 20, mwaka wa 2022. Liverpool chini ya Kocha Jurgen Klopp iliomba mchezo huo […]

Read More

  • 1
  • 2

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.