Cardi B mbioni kuachia Album mpya

Cardi B mbioni kuachia Album mpya

Rapa Cardi B ataikata kiu yako ya muziki muda wowote kuanzia sasa baada ya ukimya wa miaka minne. Rapa huyo kutoka nchini Marekani ameonekana akiwa studio kwenye picha ambayo imesambaa kwenye mitandao leo. Mbali na picha hiyo, Cardi B ameifuata (follow) akaunti mpya iitwayo (Albumcb2) na kuashiria huenda ni ujio wa Album ya pili. Cardi […]

Read More
 Cardi B afunguka uoga kuathiri muziki

Cardi B afunguka uoga kuathiri muziki

Rapa Cardi B ameingiwa na hofu, na hiyo ndio sababu kuu ambayo inamfanya achelewe kuachia Album mpya kwa kipindi cha miaka mitatu sasa. Cardi B anasema amekuwa muoga kuachia ngoma kutokana na watu kumkosoa sana. “Kipindi cha kuanzia mwaka 2015 hadi 2018 nilikuwa napenda Muziki, lakini kwa sasa, kufanya muziki kwangu mimi imekuwa Kazi ambayo […]

Read More
 RAPA CARDI B AKIRI KUTESWA NA UMAARUFU

RAPA CARDI B AKIRI KUTESWA NA UMAARUFU

Rapa kutoka Marekani Cardi B amefunguka wazi kuwa amechoka kuwa maarufu, hii ni baada ya kumalizika kwa onesho la Met Gala 2022 Jijini New York Jumatatu wiki hii. Cardi B ameutumia ukurasa wake wa Instagram kwenda live na kusema kwamba umaarufu si kitu kizuri kwa upande wake huku kuwataka watu wasitamani umaarufu bali watamani kuwa […]

Read More
 CARDI B APIGA CHINI DILI YA MABILIONI YA PESA, AJITOA KWENYE UHUSIKA WA FILAMU YA “ASSISTED LIVING”

CARDI B APIGA CHINI DILI YA MABILIONI YA PESA, AJITOA KWENYE UHUSIKA WA FILAMU YA “ASSISTED LIVING”

Rapa wa kike kutoka Marekani Cardi B amelipiga chini dili nono lenye thamani ya shilling billion 3.2 za Kenya kwa kujiondoa kwenye nafasi ya uhusika mkuu wa filamu ya ucheshi iitwayo ‘Assisted Living’ ambayo inatayarishwa chini ya kampuni ya Paramount Movies. Kwa mujibu wa tovuti ya Deadline, Cardi anatajwa kuchukua maamuzi hayo kutokana na kuzidiwa […]

Read More
 CARDI B ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DUNIA KUTAFUTA MWARUBAINI WA MZOZO UNAOSHUHUDIWA KATI YA URUSI NA UKRAINE

CARDI B ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DUNIA KUTAFUTA MWARUBAINI WA MZOZO UNAOSHUHUDIWA KATI YA URUSI NA UKRAINE

Female Rapper kutoka Marekani Cardi B ametoa maoni yake kuhusu nchi ya Urusi na ameshauri viongozi wakubwa duniani watafute suluhisho kwa usalama wa raia. Hii inakuja baada uwepo wa machafuko ya kisiasa yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Cardi B anasema inabidi waanze kufikiria namna ambavyo raia wanaathirika kutokana na […]

Read More
 CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

Wakati ukichukulia poa kumbukizi ya kuzaliwa kwa mpenzi wako, huko nchini Marekani rapa Cardi B hakuwa na jambo dogo kwa Baby Daddy wake OffSet , Hitmaker huyo wa “WAP” amemsurprise mume wake Offset kwa cheque nzito ya dollar million 2 za Kimarekani kama zawadi ya Birthday yake ambayo ilikuwa Disemba 14. Kupitia instastory yake kwenye […]

Read More
 KESI YA CARDI B KUWASHUSHIA KICHAPO WAHUDUMU WA CLUB KUSIKILIZWA LEO

KESI YA CARDI B KUWASHUSHIA KICHAPO WAHUDUMU WA CLUB KUSIKILIZWA LEO

Rapa kutoka Marekani Cardi B  yuko hatarini kufungwa miaka minne  jela kufuatia mashtaka mawili yanayomkabili,ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wahudumu wawili wa club iitwayo Angels-Strip-Club Mwaka 2018 Cardi B alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa makosa hayo mawili lakini mwaka wa 2019 alikanusha kwenye mahakama kuu ya queens akiwa kizimbani kwa kumwambia hakimu kuwa hana hatia […]

Read More
 CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

Rapa Cardi B alikuwa anapaza sauti yake kwenye mijadala mbali mbali ya siasa za nchini Marekani, lakini kuna muda alikuwa hasikiki tena na watu kuanza kujiuliza maswali. Akijibu swali hilo ambalo aliulizwa na shabiki mmoja kupitia ukurasa wake wa Twitter, Cardi B amesema aliamua kukaa kimya kutokana na kunyanyaswa na kambi ya chama cha Republican […]

Read More