Cindy Sanyu Afunguka Kuhusu Mzozo wa Bebe Cool na Eddy Kenzo
Msanii nyota wa Uganda Cindy Sanyu amefunguka kuhusu mzozo unaoendelea kati ya wasanii, Bebe Cool na Eddy Kenzo, ambao wote wako kwenye msafara wa kampeni za Rais Yoweri Museveni. Cindy anasema mvutano huo hauna uhusiano wowote na masuala ya muziki. Kwa mujibu wake, chanzo cha migogoro kati ya wasanii hao wawili ni fedha na hamu […]
Read More