BEBE COOL ABADILI MAWAZO DHIDI YA CINDY SANYU, AMUUNGA MKONO KUTWAA UONGOZI WA CHAMA CHA UMA

BEBE COOL ABADILI MAWAZO DHIDI YA CINDY SANYU, AMUUNGA MKONO KUTWAA UONGOZI WA CHAMA CHA UMA

Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool ametangaza hadharani kumuunga mkono Cindy Sanyu kwenye azma yake ya kuongoza chama cha wanamuziki nchini humo licha ya kumkosoa kipindi cha nyuma. Katika mkao na wanahabari Bebe Cool amesema Cindy ndiye anafaaa kuwasimamia wasanii kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kushawishi wadau wa maendeleo pamoja na serikali […]

Read More
 CINDY SANYU ATAJA CHANZO CHA MIGAWANYIKO MIONGONI MWA WASANII UGANDA

CINDY SANYU ATAJA CHANZO CHA MIGAWANYIKO MIONGONI MWA WASANII UGANDA

Nyota wa muziki kutoka nchini Uganda Cindy Sanyu amefunguka chanzo cha migawanyiko miongoni mwa wasanii nchini humo. Katika mahojiano yake hivi karibuni, Cindy amesema siasa imesabaratisha juhudi za kuunganisha wasanii nchini Uganda kwa kuwa baadhi ya wasanii wanafanya maamuzi yao kulingana na itakadi za kisiasa ya vyama wanavyoshabikia. Hata hivyo amesema licha ya yeye kuweka […]

Read More
 CINDY SANYU AWACHANA WASANII WALIOTIA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA MUUNGANO WA WANAMUZIKI UGANDA

CINDY SANYU AWACHANA WASANII WALIOTIA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA MUUNGANO WA WANAMUZIKI UGANDA

Nyota wa muziki nchini Uganda Cindy Sanyu amewatolea uvivu wasanii ambao wametia nia ya kugombea wadhfa wa urais wa muungano wa wanamuziki nchini humo kwenye uchaguzi ambao utafanyika hivi karibuni. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Cindy ambaye kwa sasa ni rais wa muungano wa wanamuziki nchini Uganda amesema wasanii hao hawana vigezo vya kuongoza […]

Read More
 CINDY SANYU AREJELEA MAJUKUMU YAKE KAMA RAIS WA MUUNGANO WA WASANII UGANDA BAADA YA LIKIZO FUPI

CINDY SANYU AREJELEA MAJUKUMU YAKE KAMA RAIS WA MUUNGANO WA WASANII UGANDA BAADA YA LIKIZO FUPI

Staa wa muziki nchini Uganda Cindy Sanyu ametangaza rasmi kurejea kwenye majukumu yake kama rais wa chama cha wanamuziki nchini humo baada ya kuchukua mapumziko mafupi. Kupitia ukurasa wake amepost picha akiwa katika afisi za chama cha wasanii nchini uganda UMA huku akidokeza kuwa yupo tayari kwa ajili ya kuwasimamia wasanii na pia kuweka mikakati […]

Read More