Daddy Awashauri Wanaume Kutoziweka Hisia Zote kwa Wanawake
Mwanamuziki wa Injili, Daddy Owen, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kutoa ushauri mkali kwa wanaume kuhusu namna wanavyopaswa kujihusisha kimapenzi na wanawake. Kupitia mitandao ya kijamii, Daddy Owen amewataka wanaume kutoziweka hisia zao zote kwa wanawake, akisema kufanya hivyo kunawafanya kuwa rahisi kudhibitiwa kihisia. Kwa mujibu wa ujumbe wake, wanaume wanaoweka mapenzi na hisia zao […]
Read More