DADDY OWEN AICHARUKIA JARIDA MOJA KWA KUCHAPISHA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU UTAJIRI WAKE

DADDY OWEN AICHARUKIA JARIDA MOJA KWA KUCHAPISHA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU UTAJIRI WAKE

Msanii wa nyimbo za injili Daddy Owen ameibuka na kukanusha taarifa za utajiri wake zilizoainishwa na jarida moja kuwa ana utajiri wa shilllingi millioni 938 za Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuna watu walimfanyia mahojiano kwa njia ya  simu na walipomuuliza swali la utajiri alisusia lakini cha kushangaza alitumiwa taarifa kuwa ana utajiri […]

Read More
 DADDY OWEN ATOA WITO KWA WAHISANI KUWASAIDIA WATOTO WENYE UGONJWA WA CLUB FOOT.

DADDY OWEN ATOA WITO KWA WAHISANI KUWASAIDIA WATOTO WENYE UGONJWA WA CLUB FOOT.

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Daddy Owen ametoa wito kwa wahisani kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa  mguu kifundo kwa maana ya Club Foot. Kupitia Instagram Page Daddy Owen amesema watoto wengi ambao wameathiriwa na ugonjwa wa Club Foot katika jamii wameshindwa kuafikia ndoto zao kutokana na unyanyapa. Hitmaker huyo ngoma ya “Vanity” […]

Read More
 DADDY OWEN AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA BRENDA WAIRIMU

DADDY OWEN AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA BRENDA WAIRIMU

Staa wa muziki nchini Daddy Owen amevunja kimya chake juu ya tuhuma za kumtaka kimapenzi mwiigizaji Brenda Wairimu kupitia mitandao yake ya kijamiii. Kupitia ukurasa wake wa instagram Daddy Owen ameonyesha kufurahishwa na namna watu walifsiri ujumbe wake kwenda kwa brenda wairimu huku akisema kwamba hana uhusiano wowote wa kimapenzi na mrembo huyo. Hitmaker “Vanity” […]

Read More
 DADDY OWEN AWABARIKI MASHABIKI ZAKE NA CHAPTER 4 ALBUM

DADDY OWEN AWABARIKI MASHABIKI ZAKE NA CHAPTER 4 ALBUM

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Daddy Owen ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Album hiyo inayokwenda kwa jina la Chapter 4 ina jumla ya singo 15 ya moto huku ikiwa na 6 collabo pekee. Daddy Owen amewashirikisha wasanii kama Nakaaya,Bella Kombo, Judy Stevens,Ivyln Mutua,Danco na Slejj. Akizungumza wakati […]

Read More