Bingwa wa Dunia wa Fedha, Daniel Ebenyo, Kutafuta Taji la Kitaifa Eldoret
Mwanariadha aliyeshinda medali ya fedha ya dunia katika mbio za mita 10,000 mwaka mwaka 2023 Daniel Simiu Ebenyo ananuia kutwaa taji ya kitaifa atakaposhiriki katika mashindano ya kitaifa ya mbio za nyikani yatakayoandaliwa katika uwanja wa kilabu cha michezo cha Eldoret Jumamosi hii. Ebenyo, alishinda mbio za mwaka jana mbele ya Nickson Kogei na Simon […]
Read More