Kenya Yatuma Waogeleaji 8 kwa Michezo ya Deaflympics Japan
Timu ya taifa ya uogeleaji ya Deaflympics imeboresha mazoezi yake ikijiandaa kushiriki katika makala ya mwaka huu ya michezo ya Deaflimpiki itakayoandaliwa jijini Tokyo Japan baina ya tarehe 15 na 26 mwezi ujao. Timu hiyo itaongozwa na nahodha Francis Gichuhi ambaye ataongoza kikosi cha waogeleaji wanane wakiwemo Lilian Njeri, Faith Wayua, Jimale Suheib, Salim Mbaraka, […]
Read More