WEEZDOM AMJIBU DIANA MARUA BAADA YA KUDAI UBALOZI WAKE NA LIMAVEST NI BANDIA
Msanii wa muziki nchini Weezdom amemtolea uvivu mke wa Bahati, Diana Marua baada ya mrembo huyo kupuzilia mbali ubalozi wake na kampuni ya Limavest. Akipiga stori na mwana youtube presenter Ali, Weezdom amesema kwamba ameshangazwa na kauli ya chuki ambayo diana aliitoa dhidi ya dili alilopewa na kampuni ya Limavest akisisitiza kwamba mrembo huyo ana […]
Read More