Diana Marua na Bahati Warudia Baada ya Tetesi za Kuachana
Mwanamitandao kutoka Kenya Diana Marua amezima tetesi za kuachana na mume wake Bahati kwa ujumbe mzito wa mahaba Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diana ameposti video inayowaonyesha wawili hao wakiwa katika hali ya furaha na mahaba, ambapo amekiri kuwa safari yao ya ndoa haijakuwa rahisi kwani wamepitia changamoto nyingi zilizojaribu msingi wa imani na upendo […]
Read More