Mwigizaji Terrence Howard afunguka kuwahi kuingiliwa kimwili na Diddy
Mwigizaji maarufu nchini Marekani Terrence Howard amefanya mahojiano na Podcast ya PBD na kumwaga sumu kali kuhusu rapa Diddy. Kwa mujibu wa Terrence Howard, anasema Diddy alitaka kumuingilia kimwili. Hii ni baada ya mwigizaji huyo kualikwa nyumbani kwa rapa huyo kwa lengo kumfundisha uigizaji kama ambavyo ombi lake lilikuwa linasema. Baada ya kufika, Terrence anasema […]
Read More