DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameingia kwenye headlines baada ya kununua chanuo la gharama zaidi aina ya Rolls Royce Brush kwa ajili ya kuchania nywele zake . Chanuo hilo ambalo limenakshiwa kwa Led Lights linatajwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola million 1.1 ambazo ni zaidi ya shilling million 122 za Kenya. Hii si […]

Read More