Msanii Dyana Cods Afichua Idadi ya Ngoma Kwenye Albamu Yake Mpya

Msanii Dyana Cods Afichua Idadi ya Ngoma Kwenye Albamu Yake Mpya

Msanii kutoka nchini Kenya, Dyana Cods, ameweka wazi idadi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dyana amewajulisha mashabiki wake kuhusu ujio wa albamu hiyo, akisema kuwa itakuwa na ngoma 16 za moto, huku akimalizia chapisho lake kwa hashtag #GhettoGirl, ikionekana kuwa huenda ndilo jina […]

Read More
 Dyana Cods Atetea Wasanii Kuhusu Malipo Kutoka Serikalini

Dyana Cods Atetea Wasanii Kuhusu Malipo Kutoka Serikalini

Mwanamuziki wa Kenya, Dyana Cods, amejibu lawama zinazowakumba wasanii wanaofanya maonyesho kwenye hafla za serikali na kulipwa kwa kazi zao. Kundi la wakosoaji limekuwa likidai kwamba hatua ya wasanii kushiriki katika hafla hizo ni sawa na kuunga mkono serikali ya Rais William Ruto, hali ambayo imewafanya baadhi ya wananchi kuwataka wasanii wasipokee malipo hayo. Kwa […]

Read More
 Dyana Cods Aomba Radhi kwa Mashabiki Wake Kufuatia Kauli Zake Kuhusu Rais William Ruto

Dyana Cods Aomba Radhi kwa Mashabiki Wake Kufuatia Kauli Zake Kuhusu Rais William Ruto

Msanii wa muziki wa rap nchini Kenya, Dyana Cods, ameomba msamaha hadharani kwa mashabiki wake kufuatia kauli zake za awali ambapo alionekana kuunga mkono Rais William Ruto. Taarifa hiyo ya msamaha iliitoa jukwaani kupitia video inayosambaa kwa kasi mitandaoni, ambapo Dyana alionekana akipiga magoti kwa hisia kubwa baada ya kumaliza kutumbuiza. Katika tukio hilo lililogusa […]

Read More
 Msanii Dyana Cods Afunguka Baada ya Lawama za Kuunga Mkono Serikali

Msanii Dyana Cods Afunguka Baada ya Lawama za Kuunga Mkono Serikali

Mwanamuziki wa Kenya na mwimbaji wa wimbo maarufu “Set It”, Dyana Cods, ameomba msamaha kwa mashabiki wake kufuatia malalamiko yaliyotokana na kauli zake zilizotafsiriwa kuwa za kuiunga mkono serikali. Katika ujumbe alioutoa kupitia mitandao ya kijamii, Dyana alieleza kuwa kauli zake zilikuwa za kejeli (sarcastic) na hazikupaswa kuchukuliwa kwa uzito kama wengi walivyofanya. Alisema hakuwa […]

Read More