ERIC OMONDI AJA NA MASHARTI MAPYA YA MALIPO KWA WASANII WA KENYA
Mchekeshaji ambaye hivi karibuni ameibuka na kupigania maslahi ya muziki wa Kenya Eric Omondi ameibuka tena na kuwapa masharti waandaaji wa matamasha ya muziki nchini. Eric Omondi amesema wasaanii wanapaswa kulipwa asilimia 70 ya pesa kabla ya show na inayobaki wapewe wakishafika kwenye eneo ambalo show itafanyika. Lakini pia hajaishia hapo amewataka waandaji wa matamasha […]
Read More