Eric Omondi Akamilisha Safari ya Kutembea Kwa Miguu Kutoka Nairobi Hadi Busia
Mchekeshaji na mwanaharakati wa masuala ya kijamii Eric Omondi amefanikiwa kukamilisha safari yake ya kutembea kwa miguu kutoka Nairobi hadi Busia ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuchangisha fedha za kujenga kituo cha uokoaji kupitia mpango wake wa Sisi Kwa Sisi. Kupitia ujumbe alioutuma baada ya kukamilisha safari hiyo, Eric amesema hatua hiyo ilikuwa zaidi […]
Read More