Ndugu wa Gloria Ntazola Apata Ajira Mpya Baada ya Kukataliwa na Familia
Ndugu ya socialite Gloria Ntazola, ambaye hivi karibuni aliomba msamaha hadharani na kuomba asaidiwe kuanzisha biashara, sasa amepata ajira mpya licha ya kukataliwa na familia yake. Mdau wa Burudani Obidan Dela amethibitisha taarifa hizo, akisema kijana huyo ameajiriwa kwenye moja ya maduka ya kuuza mavazi jijini Nairobi. Kwa mujibu wa Dela, uamuzi huo umekuja kama […]
Read More