Google Yaianza Maboresho ya Emoji za Android
Google imeanza kufanya maboresho ya muundo wa emoji zinazotumika kwenye simu za Android, hatua inayolenga kuzifanya zifanane kwa kiasi kikubwa na emoji za iPhone zinazotumika kwenye mfumo wa iOS. Mabadiliko hayo yameanza kuonekana katika mfumo mpya wa majaribio wa Android 16, ambapo emoji nyingi zimeboreshwa muonekano wake na kufanana zaidi na zile za Apple. Kwa […]
Read More