Breaking!

test
Content Review 749-325393-1f613f0616e0
golbet
Founding of YouTube A Short History
September 21, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: google

 YouTube Yazindua Aina Mpya ya Matangazo ya “Peak Points” kwa Kutumia Akili Bandia
Robert Elim May 16, 2025
Comments (0)

YouTube Yazindua Aina Mpya ya Matangazo ya “Peak Points” kwa Kutumia Akili Bandia

Mtandao wa YouTube umeanzisha mfumo mpya wa matangazo unaoitwa Peak Points, ambao hutumia teknolojia ya akili bandia ya Gemini inayomilikiwa na Google katika juhudi za kuboresha ufanisi wa matangazo ya mtandaoni. Mfumo huu wa kisasa una lengo la kuweka matangazo mara tu baada ya sehemu yenye mvuto mkubwa zaidi kwenye video yaani, pale ambapo watazamaji […]

Read More
 Google Yazindua Nembo Mpya na Mtindo wa Rangi wa Soft Transition
Robert Elim May 14, 2025
Comments (0)

Google Yazindua Nembo Mpya na Mtindo wa Rangi wa Soft Transition

Google imezindua nembo mpya yenye mtindo wa soft transition wa kupanga rangi, ambapo rangi zinazotumika bado ni zile za zamani – buluu, nyekundu, njano, kijani, na kijivu. Hata hivyo, mpangilio wake wa rangi umebadilika, na sasa inafanana na mtindo maarufu wa rangi za Instagram, ambapo rangi hupungua kwa urahisi kutoka kivuli kimoja hadi kingine. Mabadiliko […]

Read More
 RAPA NAS NA KAMPUNI YA GOOGLE WAWEKEZA MABILLIONI YA PESA NIGERIA
Robert Elim January 23, 2022
Comments (0)

RAPA NAS NA KAMPUNI YA GOOGLE WAWEKEZA MABILLIONI YA PESA NIGERIA

Rapa wa Marekani Nas akishirikiana na kampuni ya Google wamewekeza kiasi cha shillingi billioni 2.3 za Kenya kwenye kampuni ya Kiafrika iitwayo Carry1st ambayo inahusika na kutengeneza Mobile Games. Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, kiasi hicho cha fedha kitakwenda kusaidia kampuni hiyo kutanua wigo wa maudhui na pia kusaidia timu ya Wahandisi (engeeners) CEO […]

Read More

  • 1
  • 2

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.