Gravity Omutujju Amaliza Urafiki na King Saha kwa Uchungu Mwingi
Msanii wa muziki wa hip-hop nchini Uganda, Gravity Omutujju, amezungumza kwa mara ya kwanza kwa kina kuhusu kuvunjika kwa urafiki wake na mwanamuziki King Saha, akifichua kuwa hana tena uhusiano wowote naye. Wawili hao walikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu na walishirikiana katika kibao kilichopata umaarufu kiitwacho “Winner”. Hata hivyo, uhusiano wao uliingia doa […]
Read More