GRAVITY OMUTUJJU AKIRI KUKATAA TAMAA KWENYE MAANDALIZI YA TAMASHA LAKE
Rapa Gravity Omutujju amefunguka na kudai kwamba nusura ajiondoe kwenye tamasha lake lijalo kutokana na changamoto za promota wake anayejulikana kama Norbert. Katika mahojiano yake hivi karibuni Omutujju amesema Promota huyo amekuwa akihujumu tamasha lake kwa kuamini maneno ya watu kuwa amekuwa akitoa tiketi za bure kwa mashabiki, jambo lililomfanya Nobert kutofanya maandalizi mazuri ya […]
Read More