GUARDIAN ANGEL AWAJIBU WANAODAI MUZIKI WA INJILI HAUNA PESA
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Guardian Angel amewatolea uvivu wanaodai kuwa wasanii wa gospel wamefulia kiuchumi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Guardian Angel amesema madai ya kuwa muziki wa injili hauna pesa hayana ukweli wowote ambapo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa yeye ni moja kati ya wasanii ambao wana mkwanja mrefu na hata […]
Read More