Harambee Stars Yacharazwa 8–0 na Senegal Uturuki
Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imepata matokeo mabaya zaidi katika historia ya mechi zake za kirafiki baada ya kulala 8–0 dhidi ya miamba wa Afrika Senegal, kwenye mchezo uliopigwa jana usiku nchini Uturuki. Mchezaji nyota wa Al-Nassr na zamani wa Liverpool, Sadio Mane, aling’ara kwa kufunga hat-trick, huku mshambulizi wa Bayern Munich Nicolas […]
Read More