Huddah Monroe Atangaza 2025 Kuwa Mwisho wa Kuvumilia Waliomkosea
Socialite kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ametuma ujumbe mzito unaoashiria mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi, akisema kuwa mwaka 2025 ndio mwisho wa kuvumilia watu waliomkosea. Kupitia ukurasa wake wa Insta Story, Huddah ameweka wazi kuwa amechoka kutoa nafasi ya pili kwa watu wanaomuumiza au kuvunja imani yake. Ameeleza kuwa kuanzia mwaka 2026, hatakuwa tayari […]
Read More